mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 11, 2021 #21 Hivi wasanii wana kitu gani special ??? Ova
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Oct 11, 2021 #22 OKW BOBAN SUNZU said: Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni. Click to expand... Aachane na hawa jamaa wasiolinda maadili
OKW BOBAN SUNZU said: Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni. Click to expand... Aachane na hawa jamaa wasiolinda maadili