Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14 Februari, 2022.

1644862619292.jpeg

1644862653814.jpeg
 
Mbowe ameshahukumiwa na kufungwa. Unataka zaidi?
Kesi ya Mbowe inaendelea mahakamani, tena kwa uwazi kabisa, watu wanaruhusiwa kuirusha live kwenye pages zao za mitandaoni, wengine wanatumia uhuru huo kuwatukana mawakili wa serikali na jaji anayeendesha kesi.

Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtukana mkuu wa majeshi kupitia hiyo kesi, mnataka nini tena? Sometimes natamani Jiwe angekuwepo hadi leo, sidhani kama hayo mnayofanya sasa mngefanya kipindi cha jiwe, Ungrateful people
 
Lissu ni mnafiki wa nchi, sema nyie wafuasi wake wa uswekeni huko hamumjui mnamfuata blindly, mnamuona kama Mungu wenu, the guy is a snitch wa nchi, endeleeni kumuabudu
Hujajibu swali. Lissu Watanzania wanamjua kuliko Samia huwezi kuwadanganya Watanzania kuhusu Lissu na Mbowe ni too late kwa hilo. Mimi nafikiria kama Mimi ufuasi ni ushabiki wako tu!
 
Kazi ni moja tu.

Mikataba

Na mikopo.
Yeah, na mikopo inawekwa wazi inafanya nini! Siyo ile ya kuchukua kwa kificho then kujengeana mahekalu Masaki na akina Bashite
 
Hujajibu swali. Lissu Watanzania wanamjua kuliko Samia huwezi kuwadanganya Watanzania kuhusu Lissu na Mbowe ni too late kwa hilo
Hahahaha! Watanzania wanamjua mkimbizi kuliko mtu anayewaongoza!!?? Kuwa serious Chief
 
kwa iyo rais akiwa nje ulinzi ni hafifu hivyo...mpaka wengine wanakaribia kumshika ushungi...kwa nini sisi tunanyimwa Uhuru wa kuwa zero distance na rais wetu
hao unaowaona ni wafanyakazi wa ubalozini,ni kama vile vitoto ufaransa vilimsogelea sababu inaonekana ni watoto wa staffs wa ubalozi
Rais hata wewe unaweza ukamsogelea kama unafanya kazi huko serikalini , kuna mtu hapa alisimulia story ya mama yake alifanya kazi ikulu na alikuwa anapishana na Nyerere kwenye corridor za ikulu bila walinzi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14 Februari, 2022.

View attachment 2119537

View attachment 2119538

Brussels, Belgium

European Union - African Union Summit, 17-18 February 2022​

Main points of the agenda​

The leaders of the EU and the AU, together with those of their respective Member States, will meet for the sixth European Union-African Union Summit , which will take place in Brussels on 17 and 18 February 2022.

The summit will be a unique opportunity to lay the foundations for a renewed and deepened partnership between the AU and the EU benefiting from political commitment at the highest level based on trust and a clear understanding of our mutual interests. Leaders are expected to discuss how the two continents can boost prosperity .The aim is to launch an ambitious Africa-Europe investment package taking into account global challenges such as climate change and the current health crisis. They are also expected to discuss tools and solutions to promote stability and security through a renewed architecture for peace and security.

Several thematic round tables will also be organised. The following topics will be discussed:

  • Growth financing
  • Health systems and vaccine production
  • Agriculture and sustainable development
  • Education, culture and vocational training, migration and mobility
  • Private sector support and economic integration
  • Peace, security and governance
  • Climate change and energy transition, digital [connectivity and infrastructure] and transport
EU and AU Heads of State or Government will participate in the roundtables along with a selected group of guests who are experts in their respective fields.

A joint declaration on a common vision for 2030 should be adopted by the participants.

Source : Sommet Union européenne‑Union africaine, 17-18 février 2022

N.B
Expectations for a successful EU-AU Summit in Brussels on 17-18 February. Africa welcomed the announcement by President von der Leyen of a Global Gateway Africa-Europe Investment Package worth €150 billion.

KUJpAf4LNQCcAZHzfX_lGmEKjSLYaorAihOgnGT-28bkyZxbdJSj1MH2cxCBwZJZk_urE8rk2P6OsHsnSIsRmUF30H_tk_bdF8Fgggz1k8gA-asGUVOMCETCT8UfRka4skLc2YPY
Jutta Urpilainen, the European Union commissioner for international partnerships. Photo by: Lukasz Kobus / European Union

The European Union’s development chief says national governments need to put up more money to make the debut of Europe’s answer to the Chinese Belt and Road Initiative a success.

“It's not the team without team members,” Jutta Urpilainen, EU commissioner for international partnerships, said in an interview with Devex this week. “In order to really have a ‘Team Europe’ initiative, we need to have coordination, but we also need to get financial contributions from the member states.”

Inside the latest Europe-Africa summit deliverables
A plan to rely more on the EU's own border agency in Africa is among those raising alarm.
The European Commission aims to use next week’s summit between leaders from the EU and African Union to showcase its Global Gateway scheme, intended to mobilize up to €300 billion of investment abroad, with a focus on green and digital infrastructure. To reach that projected figure, however, Urpilainen said the commission needs EU states to supplement Brussels’ financing.

Koen Doens, the head of the international partnerships department at the commission, has been meeting with the development heads from EU national bureaucracies for more than a year to assemble a list of joint priorities — so-called Team Europe initiatives, or TEIs — covering support to small businesses, energy, migration, health, and more.

There are now around 150 TEIs in various stages of completion, and a handful of “flagships” will feature in an investment package to be unveiled at next week’s summit.

Amid tension over African calls for an intellectual property waiver for COVID-19 vaccines and doubts over European support for natural gas on the continent, the overall financing will also be closely watched as a test of whether the EU’s proposed new partnership with Africa goes beyond the usual warm words. Last month, Senegalese President Macky Sall called for a significant investment package.

Doens wrote to officials from EU countries in mid-January, underlining the “crucial” point that of the €20 billion in grants that Europe provides to Africa each year, €6.4 billion comes from the commission and €13.6 billion from member states bilaterally. “In other words: if we only look at Flagship TEI from the perspective of EU funding, we are only showcasing 1/3 of what Team Europe represents,” Doens wrote.

That was followed by an email last week, saying that “over the past weeks, the level of political commitment in Member States on these flagships has been mixed.”

Doens wrote that “Whilst some of them have mustered strong political commitment, such as those related to human capital (health and education), others have not gathered such support yet.”

He added, “That is notably the case of proposed flagships related to infrastructure in energy, digital and transport, three priority investment areas of Global Gateway and of strategic importance to our African partners.”

The latest draft investment package, to be discussed by EU states in Brussels on Friday, states that future funding commitments “are not yet determined and depend on Member States’ yearly national budgetary processes.”

But synchronizing budgets is not the only snag.

“To really have a ‘Team Europe’ initiative, we need to have coordination, but we also need to get financial contributions from the member states.”

— Jutta Urpilainen, EU commissioner for international partnerships Diplomats told Devex that other factors affecting member states’ support included the varying state of readiness of the plans, preexisting member state presence on the ground, the higher amount of promotion for some initiatives, and some donors’ lack of experience with infrastructure investments, as well as the complexity of multicountry regional TEIs and how to govern them.
 
Hahahaha! Watanzania wanamjua mkimbizi kuliko mtu anayewaongoza!!?? Kuwa serious Chief
kwani kuongoza ndio kujulikana? unaweza ukaongoza na usijulikane, we hujamskia inspector swila leo alivyoulizwa na kibatala?
kamuuliza unamjua daktar anayekutibia? akajibu hamjui, akaulizwa tena amekutibia kwa muda gani?

Akajibu miaka miwili sasa ebu jiulize daktar kamtibia mgonjwa kwa muda wa miaka miwili lakini bado mgonjwa ameshindwa kumjua daktar wake....kwaiyo usishangae watu wakisema hawamjui chief hangaya.
 
Is our president in waiting honorable Tundu Antipass Lisu one of the hosts for madam Tozo?
 
Si umeona unavyo dhihirisha ujinga wako! Sasa kama kama hao magaidi akina Mbowe waliweza kujirushia bomu kwenye mkutano wao wenyewe Arusha, mlishindwaje kumkamata na kumfungulia kesi ya ugaidi! Badala yake mkaamua kutengeneza huu uvundo wenu wa sasa ili kumkomesha?
Mzee huu hata siyo uvundo, jamaa aliwachukua wale makomandoo waliofukuzwa ili autumie ujuzi wao kufanya mambo yake ya kigaidi, hilo halina ubishi, mengine tuache mahakama itatoa uamuzi! Ila jua tu huyo jamaa yenu mnayemuabudu na kumuona malaika hana nia njema kwa nchi hii! Ameshafanya mengi sana na akavumiliwa, ila sasa lazima aondoke, kwa njia yeyote ile.....
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14 Februari, 2022.

View attachment 2119537

View attachment 2119538
Dah....mnaandika lakini?🤣🤣🤣🤣
 
Brussels, Belgium

European Union-African Union Summit, 17-18 February 2022​

Main points of the agenda​

The leaders of the EU and the AU, together with those of their respective Member States, will meet for the sixth European Union-African Union Summit , which will take place in Brussels on 17 and 18 February 2022.

The summit will be a unique opportunity to lay the foundations for a renewed and deepened partnership between the AU and the EU benefiting from political commitment at the highest level based on trust and a clear understanding of our mutual interests. Leaders are expected to discuss how the two continents can boost prosperity .The aim is to launch an ambitious Africa-Europe investment package taking into account global challenges such as climate change and the current health crisis. They are also expected to discuss tools and solutions to promote stability and security through a renewed architecture for peace and security.

Several thematic round tables will also be organised. The following topics will be discussed:

  • Growth financing
  • Health systems and vaccine production
  • Agriculture and sustainable development
  • Education, culture and vocational training, migration and mobility
  • Private sector support and economic integration
  • Peace, security and governance
  • Climate change and energy transition, digital [connectivity and infrastructure] and transport
EU and AU Heads of State or Government will participate in the roundtables along with a selected group of guests who are experts in their respective fields.

A joint declaration on a common vision for 2030 should be adopted by the participants.

Source : Sommet Union européenne‑Union africaine, 17-18 février 2022

N.B
Expectations for a successful EU-AU Summit in Brussels on 17-18 February. Africa welcomed the announcement by President von der Leyen of a Global Gateway Africa-Europe Investment Package worth €150 billion.

KUJpAf4LNQCcAZHzfX_lGmEKjSLYaorAihOgnGT-28bkyZxbdJSj1MH2cxCBwZJZk_urE8rk2P6OsHsnSIsRmUF30H_tk_bdF8Fgggz1k8gA-asGUVOMCETCT8UfRka4skLc2YPY
Jutta Urpilainen, the European Union commissioner for international partnerships. Photo by: Lukasz Kobus / European Union

The European Union’s development chief says national governments need to put up more money to make the debut of Europe’s answer to the Chinese Belt and Road Initiative a success.

“It's not the team without team members,” Jutta Urpilainen, EU commissioner for international partnerships, said in an interview with Devex this week. “In order to really have a ‘Team Europe’ initiative, we need to have coordination, but we also need to get financial contributions from the member states.”

Inside the latest Europe-Africa summit deliverables
A plan to rely more on the EU's own border agency in Africa is among those raising alarm.
The European Commission aims to use next week’s summit between leaders from the EU and African Union to showcase its Global Gateway scheme, intended to mobilize up to €300 billion of investment abroad, with a focus on green and digital infrastructure. To reach that projected figure, however, Urpilainen said the commission needs EU states to supplement Brussels’ financing.

Koen Doens, the head of the international partnerships department at the commission, has been meeting with the development heads from EU national bureaucracies for more than a year to assemble a list of joint priorities — so-called Team Europe initiatives, or TEIs — covering support to small businesses, energy, migration, health, and more.

There are now around 150 TEIs in various stages of completion, and a handful of “flagships” will feature in an investment package to be unveiled at next week’s summit.

Amid tension over African calls for an intellectual property waiver for COVID-19 vaccines and doubts over European support for natural gas on the continent, the overall financing will also be closely watched as a test of whether the EU’s proposed new partnership with Africa goes beyond the usual warm words. Last month, Senegalese President Macky Sall called for a significant investment package.

Doens wrote to officials from EU countries in mid-January, underlining the “crucial” point that of the €20 billion in grants that Europe provides to Africa each year, €6.4 billion comes from the commission and €13.6 billion from member states bilaterally. “In other words: if we only look at Flagship TEI from the perspective of EU funding, we are only showcasing 1/3 of what Team Europe represents,” Doens wrote.

That was followed by an email last week, saying that “over the past weeks, the level of political commitment in Member States on these flagships has been mixed.”

Doens wrote that “Whilst some of them have mustered strong political commitment, such as those related to human capital (health and education), others have not gathered such support yet.”

He added, “That is notably the case of proposed flagships related to infrastructure in energy, digital and transport, three priority investment areas of Global Gateway and of strategic importance to our African partners.”

The latest draft investment package, to be discussed by EU states in Brussels on Friday, states that future funding commitments “are not yet determined and depend on Member States’ yearly national budgetary processes.”

But synchronizing budgets is not the only snag.

“To really have a ‘Team Europe’ initiative, we need to have coordination, but we also need to get financial contributions from the member states.”

— Jutta Urpilainen, EU commissioner for international partnerships Diplomats told Devex that other factors affecting member states’ support included the varying state of readiness of the plans, preexisting member state presence on the ground, the higher amount of promotion for some initiatives, and some donors’ lack of experience with infrastructure investments, as well as the complexity of multicountry regional TEIs and how to govern them.
At least now I know that, she is in Belgium to attend a European Union - African Union Summit...

And if that's the case, the issue of democracy in African countries including Tanzania will paramountly be risen and I am pretty sure that, the question of main opposition party CHADEMA National Chairperson Mr. Freeman Mbowe being held in prison for falsely proven terrorism charges will be risen too...

How far is she prepared to respond on this provided that few months ago she lied to the whole world that some of the Mbowe's counterparts are in jail after being found guilty while the truth is opposite...

Let's hope that she is now ready to correct her grievous mistakes

Yajayo yanafurahisha. Huko yuko Tundu Lissu. Na EU ndiyo waliishikia bango sana ishu ya Freeman Mbowe na risasi za Tundu Lissu. Sasa kaingia mwenyewe mdomoni mwao...
 
Back
Top Bottom