Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

Kama ni kwa manufaa ya nchi, nazipenda hizo kazi.

Rais anajitahidi sana.
Matokeo yake hayaonekani mkuu.

Awamu hii utasikia ; " Amekutana na kufanya mazungumzo na flani" ila nothing tangiable is coming out of it kwakua in the first place wanaonufaika moja kwa moja sio sisi ni hao anaowafuata.

Yaani ukiangalia safari nzima mwisho wa siku wanaonufaika ni hao wazungu sio sisi.

Kama hiyo EPA trade agreement wanufaika ni European Union sio sisi.

Hakuna faida yeyote tunapata.
 
Matokeo yake hayaonekani mkuu.

Awamu hii utasikia ; " Amekutana na kufanya mazungumzo na flani" ila nothing tangiable is coming out of it kwakua in the first place wanaonufaika moja kwa moja sio sisi ni hao anaowafuata...
Sasa Mkuu shauri tufanyeje?
 
Sasa Mkuu shauri tufanyeje?
Awamu hii wanaweza kuwa na lengo zuri ila njia sio nzuri

Zaidi sana kinachofanyika ni kutuingiza motoni .

Kwa staili hii ya kutegemea hisani za wazungu, hatutaendelea kamwe.
 
Awamu hii wanaweza kuwa na lengo zuri ila njia sio nzuri

Zaidi sana kinachofanyika ni kutuingiza motoni .

Kwa staili hii ya kutegemea hisani za wazungu, hatutaendelea kamwe.
Hapa umendelea kutoa lawama Mkuu, suluhisho ni nini?
 
Udikteta wake upo wapi? Onesha udikteta wake mmoja
Nani kashahukumiwa kesi ya Mbowe kama alivyotangaza BBC?Kwanini anataka kuombwa msamaha Ili kumuachia Mbowe?Vipi kuhusu kauli yake kuwa Rais hakosei??
 
Hapa umendelea kutoa lawama Mkuu, suluhisho ni nini?
Namshauri Rais arejee njia kuu.

Mengi yaliyokuwa yanafanyika awamu ya Tano yalikua kwa faida ya nchi hii.

Anaweza kuyafanya kwa usahihi zaidi.

Hapa ni nia tu.

Kama nia anayo sawa ila kama hana nia sawa. Ingawa kwa matendo yake utaona malengo yake ni yapi.
 
Kama unatamani jiwe angekuwepo wasiliana na Mungu aliyeruhusu march iwe hivyo.Nawe pia ipe nafsi yako kwa Mungu na sio nguvu za wanadamu wenye nguvu za kisiasa.
 
Lissu ni mnafiki wa nchi, sema nyie wafuasi wake wa uswekeni huko hamumjui mnamfuata blindly, mnamuona kama Mungu wenu, the guy is a snitch wa nchi, endeleeni kumuabudu
Hata Hitler alikuwa na mashabiki kama wewe, ninakushauri usiwe na hasira, hasira huonesha kuzidiwa hoja.
 

15 February 2022
European Parliament
Brussels, Belgium

Relations under review: What to expect at EU-African Union summit • FRANCE 24

GOOD GOVERNANCE AND HUMAN RIGHTS ISSUES ARE A PRIORITY


On February 17 and 18, the EU is inviting African Union heads of state to Brussels for a summit. In this debate at the European Parliament, we lift the lid on Europe’s relationship with its African partners and ask what the EU-AU summit might achieve. Major areas of focus at the event will include development, visas and education exchanges, as well as the particularly pressing questions of security and migration. This all comes against a backdrop of postcolonial relationships and contemporary rivalries for influence in Africa with the likes of China, Russia and Turkey. French President Emmanuel Macron says it's a chance to found an "economic new deal and finance Africa", adding that the two continents' relationship has become, in his words, "a little tired".

Source : France 24
 
15 February 2022
European Union HQ
Brussels, Belgium

EU Council Boss welcomes Tanzania President Samia Hassan in Brussels​



President of the European Council — Charles Michel has on Tuesday met with Tanzanian head of state Samia Suluhu Hassan on Tuesday ahead of the EU-AU summit in Brussels.



Through the much anticipated so called new cooperation deal that is envisaged to emerge after the 17 - 18 February 2022 EU - AU summit in Brussels comes The programme promises to establish an EU investment platform in each African country but will not be backed by any new financing commitment by Brussels.

READ MORE : Weekly schedule of President Charles Michel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…