Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Upo sahihi, huyu bibi hana mvuto hata kidogoHao wamelazimishwa Kwa nguvu Kwa kutishiwa watafutwa kazi(walimu) na kufukuzwa masomo(wanafunzi) wasiposhiriki huo mkusanyiko.Bibi yangu ni mwalimu anakaribia kustaafu ameenda Kwa kulazimishwa na Mimi nimemshauri asiende kama wakitaka wamfukuze sawa na tutakutana mahakamani.