Rais Samia awasili Mwanza kwa maandalizi ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge pamoja na Wiki ya Vijana

Upo sahihi, huyu bibi hana mvuto hata kidogo
 
Nitakuwa Mwanza kuanzia leo mpaka tarehe 15. Nitafanya shughuli kadhaa nikiwa ndani ya mkoa wa Mwanza, Leo baada ya kusalimiana nanyi nitakuwa na mazungumzo na viongozi wa dini, na baadaye nitakuwa nao usiku viongozi wa dini wa mkoa mzima wa Mwanza.
Yule mfalme wa kike atakuwepo?
 
Serikali nzima na chama wapo Mwanza, hakuna mtu ana time na Samia maana hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…