Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wacha akapate changamoto zingine angalau mama wa watuAsante kwa taarifa, tunafuatilia kwa karibu kupitia JF update.
P
Kuna nchi mtu ukifanya ziara ni nchi nchi tuu, hivyo hiyo ziara inakuwa ni kama kutalii tuu, na kuna nchi ni nchi darasa, ukifanya ziara ni ziara darasa kama shamba darasa!.Wacha akapate changamoto zingine angalau mama wa watu
Kuna nchi mtu ukifanya ziara ni nchi nchi tuu, hivyo hiyo ziara inakuwa ni kama kutalii tuu, na kuna nchi ni nchi darasa, ukifanya ziara ni ziara darasa kama shamba darasa!.
Tiger countries ni nchi darasa!, hivyo Mama yuko darasani!.
Tena nashauri Mode, hii ziara waifanye sticky with a minute to minutes updates!.
P