Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Kila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan 🔥Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439
Huyo ni Ndugu Samia Suluhu siyo Mhe wala Dkt, tuondolee upopona hapaKila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Ndugu?Huyo ni Ndugu Samia Suluhu siyo Mhe wala Dkt, tuondolee upopona hapa
Samia sio DAKTARI, hana uwezo huo!.Kila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
haina haja ya kukasirikia hadhi ya udaktari alio naona Dr Samia Suluhu Hassan,Samia sio DAKTARI, hana uwezo huo!.
Doctor?haina haja ya kukasirikia hadhi ya udaktari alio naona Dr Samia Suluhu Hassan,
Ni muhimu akapewa heshima anayostahili bila chuki binafsi gentleman 🐒
Hata mimi sitaki kumsikiaJust kwa kumwwngalia tu nachafukwa roho
TOKA MAKTABA :Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.
Mama atumie muda wake vizuri huko Kampala.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439
Wauaji wanatembeleana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439