Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje?
Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja.
Alijibiwa kuwa wahusika ni TFF ambao walishindwa kusema fedha ziko wapi. Kwa kipindi cha dharura walitoa hela ili kukarabati uwanja lakini kwa sasa amesema TFF ambao ndio wanahusika na uwanja huo waseme walipoweka fedha za makusanyo ya watu wanaoingia uwanjani ili kukarabati uwanja.
Amesema hatokarabati uwanja huo ndio msimamo wake na atamuambia Rais Mwinyi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa na msimamo huo pia.