Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

TFF hana kiwanja

Hapo ni wenye viwanja wadai chao mapema

Simba na Yanga zijenge vyao hata vya watu 10000
 
Anatuchanganya......viwanja mali ya nani? Kuna mkanganyiko....!! Vingi ccm wamejimilikisha .....viwanja vilijengwa nguvu ya wananchi....
Hivyo vipya watakavyojenga kwa ajili ya Afcon huenda wakajimilikisha pia.
 
Back
Top Bottom