Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja.
Alijibiwa kuwa wahusika ni TFF ambao walishindwa kusema fedha ziko wapi. Kwa kipindi cha dharura walitoa hela ili kukarabati uwanja lakini kwa sasa amesema TFF ambao ndio wanahusika na uwanja huo waseme walipoweka fedha za makusanyo ya watu wanaoingia uwanjani ili kukarabati uwanja.
Amesema hatokarabati uwanja huo ndio msimamo wake na atamuambia Rais Mwinyi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa na msimamo huo pia.
Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? View attachment 2824830

Je, viwanja hivyo ni mali ya nani?
Nasikia CCM wamejimilikisha viwanja hivyo, Je, ni kwa nini basi "nyumba za CCM" zikaarabatiwe na TFF?
Je, hao TFF ni wapangaji wao??
Kwa kuwa CCM siyo Chama cha Mpira wa Miguu, viwanja vya mpira sasa vinatakiwa vimilikishwe kwa TFF.

Mwenyekiti hajui kama ccm wamejimilikisha karibu viwanja vyote vikubwa nchini.
Kwa alichosema inabidi virudi serikalini na wala sio tff. Viwanja virudishwe kwenye halmashauri husika.