HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Nov 25, 2023 #21 TFF hana kiwanja Hapo ni wenye viwanja wadai chao mapema Simba na Yanga zijenge vyao hata vya watu 10000
TFF hana kiwanja Hapo ni wenye viwanja wadai chao mapema Simba na Yanga zijenge vyao hata vya watu 10000
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Nov 25, 2023 #22 Lambardi said: Anatuchanganya......viwanja mali ya nani? Kuna mkanganyiko....!! Vingi ccm wamejimilikisha .....viwanja vilijengwa nguvu ya wananchi.... Click to expand... Hivyo vipya watakavyojenga kwa ajili ya Afcon huenda wakajimilikisha pia.
Lambardi said: Anatuchanganya......viwanja mali ya nani? Kuna mkanganyiko....!! Vingi ccm wamejimilikisha .....viwanja vilijengwa nguvu ya wananchi.... Click to expand... Hivyo vipya watakavyojenga kwa ajili ya Afcon huenda wakajimilikisha pia.
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Nov 25, 2023 #23 Kamwaga nje sio.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Nov 25, 2023 #24 Marco Polo said: Kamwaga nje sio. Click to expand... Hii inaitwa imemeza ikatema..😂