Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na kubadilisha maisha ya watu pamoja na kuleta matokeo chanya kila uchao.
Amekuwa ni kiongozi Mwenye kuwezesha ndoto za watanzania kila uchao. Sasa kila kundi ni tabasamu, cheko , matumaini, furaha na raha tupu. Baada ya wakulima wa korosho kupitia maumivu ,kububujikwa na machozi ya huzuni, kupata hasara, kukatika mitaji, kukata Tamaa ya kilimo
Mama yetu alikwenda India kutafuta masoko na wafanyabiashara wa korosho ambapo alileta wawekezaji na wafanyabishara wengi sana wa korosho. Hatua iliyopelekea bei ya korosho kupaa na kuleta kicheko kwa wakulima. Ambapo mapato ya korosho yalipaa kama ndege vita kufikia Trilioni moja point sita kutoka Billioni 452.6. hilo likiwa ni ongezeko la mara Nne zaidi ya awali alipokuwa akiingia madarakani.
Hiyo ndio maana ya kiongozi wa watu,kiongozi mwenye maono ,uongozi wa kuleta matumaini na neema kwa maisha ya watu,uongozi wa kuleta matokeo makubwa kwa watu,uongozi wa Kugusa kila kaya ya mtanzania na kuwashia taa. Kwa hakika Rais Samia anastahili kupongezwa na kupewa muhula wa pili kuongoza Taifa letu.
Ndio sababu tunasema mwezi Oktoba Watanzania tukatiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.