Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa

Mbona humpambi jinsi alivyopaisha vitendo vya utekaji na mauaji ya wanaomkosoa?

Eleza pia jinsi alivyopaisha ugawaji wa rasilimali za Tanganhika kwa waarabu?

Angalao kwenye hayo mawili tu kuna mtawala aliyetangulia anamshinda? Mpe maua yake.
 
Hayo uliyoyaongea ni uzushi na uongo tu
 
Kama lilivyopaa Deni la taifa
 
Hivi auoni aibu kusema uongo? Amepandishaje unaweza kufafanua? Tunaolima korosho tunafahamu namna bei zilivyo, bila shaka utakua na unfmdugu na shetani
 
Hakuna mkulima aina yako.wakulima wa korosho wanatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia kupaisha mapato ya korosho
 
Kama lilivyopaa Deni la taifa
Deni letu ni himilivu kabisa . Nchi zote zinakopa.na viongozi wenye akili hukopa ili kuchochea kasi ya utekelezaji na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo yenye kuleta matokeo chanya
 
Usisahau na deni la taifa pia, uwe unaangalia kote kote na kutoa sifa stahiki
 
Deni letu ni himilivu kabisa . Nchi zote zinakopa.na viongozi wenye akili hukopa ili kuchochea kasi ya utekelezaji na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo yenye kuleta matokeo chanya
Kwisha kazi🤬🤬🤬😭😭😭😆
 
Mama anafanya KAZI kubwa sana
 
View: https://www.instagram.com/p/DOIlCk4iEK4/?igsh=NnFjdDdvdW41bXM4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…