Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]!UsiiCorrupt Nafsi yangu,danganyaneni hukohuko CCM.
KATIBA MPYA
Hizo zilikuwa style za Mzee Vasco Da Gama.Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten.
Karibuni sana.
Yap iliuzwa Ila marehem mengi alikiitaji Sana ichi kiwanja sema kimeangukia kwenye mikono salamaSo iluuzwa....
Impala na ngurdoto ni matatizo ya familiar ya owner Meleo MremaWameua Impala na Ngurdoto sasa wanakuja na ngonjera
Waziri Mchengerwa awaone akina Ndumbaro na MkendaWaziri wa Mali Asili na Utalii hajitambui yupo yupo tu. Hana impact yeyote...Hana ubunifu
Inawezekana hajifunzi kitu, au wataalamu wizara yake wanatetea masilahi yao... business as usual
WAZIRI Ngumbaru anashindwa kutekeleza ilani ya CCM. KATIBU Mkuu CCM amkumbushe Rais ilani ya Chama Cha Mapinduzi..kuleta watalii million 5 ifikapo 2025..
Up to now No ideas, no road map
Kila kitu ni matukio. Waziri Hana impact. Waziri kazi yake ni kutekeleza ilani ya Chama chake.
Waziri umefeli. Waziri aende Wizara ya Katiba na Sheria, au Wizara ya Kazi huko.
Mtakuja kuona tu, hapo 2025 watakuja na visingizio.
Waziri aje na mbinu za kuongeza watalii..yeye ni matukio tu, mara Marathon...sijui nini