Waziri wa Mali Asili na Utalii hajitambui yupo yupo tu. Hana impact yeyote...Hana ubunifu
Inawezekana hajifunzi kitu, au wataalamu wizara yake wanatetea masilahi yao... business as usual
WAZIRI Ngumbaru anashindwa kutekeleza ilani ya CCM. KATIBU Mkuu CCM amkumbushe Rais ilani ya Chama Cha Mapinduzi..kuleta watalii million 5 ifikapo 2025..
Up to now No ideas, no road map
Kila kitu ni matukio. Waziri Hana impact. Waziri kazi yake ni kutekeleza ilani ya Chama chake.
Waziri umefeli. Waziri aende Wizara ya Katiba na Sheria, au Wizara ya Kazi huko.
Mtakuja kuona tu, hapo 2025 watakuja na visingizio.
Waziri aje na mbinu za kuongeza watalii..yeye ni matukio tu, mara Marathon...sijui nini