Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hahaha.. umenikumbusha kaniki enzi hizo ndo vazi rasmi la kina mama, msuli kwa kina baba, chacha au viatu vya mgogo kwa vijana wa mjini ndio ilikuwa fasion yenyew. Chai ya mkono mmoja yan chai na kiazi 1 cha kuchemsha, tena ikipikwa chai sifuria ya lita tano inahisabiwa vijiko vitano vya sukari yan kila lita kijiko kimoja. Ilikuwa ngumu kumjua kijana wala mzee maana wote ilikuwa ni hali moja kupauka na kunyong'onyea kutokana na kukosa lishe bora nk, bila kusahau suruali za midabwada. Aisee nchii kidogo tu ingekuwa nusu ya jahanamuHuyu dogo hafahamu watu walivaa kaniki kwa kukosa sabuni
Kama una muda wa kusomba vitabu vya Shigongo...... Unashindwaje kupata muda wa kusomba kitabu cha mzee wetu....!!? Inawezekana kabisa hakuwa Rais bora lakini kuna la kujifunza toka kwake.hivi unaweza kupoteza muda wako kabisa unasoma kitabu cha huyu mzee??unapata faida gani humo ndani?kwa background ip?kwa legacy ipi?
kuna mwingine alikuwa anaitwa mkapa naye alitoa kitabu nasikia,mtanzania yupi??
Utawala wa mwinyi ulileta mabadilikoUlikuwa bado katoto bwashee!
Wataelewa nini haoHuyu dogo hafahamu watu walivaa kaniki kwa kukosa sabuni
Hahahaaaa...... Hakika bwashee!Utawala wa mwinyi ulileta mabadiliko
Mambo ya kusibiria sukari,unga kwenye foleni aliitoa
Watu waliweza pia kuanza kumiliki TV
Alifungua njia nyingi ...
Ova
Siasa ya Ujamaa ilikuwa ni kutesana tuUtawala wa mwinyi ulileta mabadiliko
Mambo ya kusibiria sukari,unga kwenye foleni aliitoa
Watu waliweza pia kuanza kumiliki TV
Alifungua njia nyingi ...
Ova
Wanajua khs kiba,mondi,harmoWatoto wa siku hizi hawajui historia!
Watu hawajui kama kuna kipindi mtu kuendesha gari ilikuwa mwisho saa fulaniSiasa ya Ujamaa ilikuwa ni kutesana tu
Mwinyi alikuwa mtu wa kuruhusu watu waishi wanavyotaka bila kuvunja sheria tu! Wakununua mali anunue, wa kuponda mali aponde raha ila tu usivunje sheria!
Sama mtu kama huyu unaweza sema hana Legacy? Aliwatoa wazee matopeni kunua sukari kwa foleni, nguo hamna yani upuuzi tu!
Wakhti huo ulikuwa viunoni mwa wazazi wako Legecy ya mwinyi ni kubwa sanakwa legacy
Ndomana enzi hizo tuko majanki tulizamiagaHahahaaaa...... Hakika bwashee!
Huyo rosemarie mtu wa ajabu sanaWakhti huo ulikuwa viunoni mwa wazazi wako Legecy ya mwinyi ni kubwa sana
Kibali cha muda kibali cha Mafuta unawaogopa Wehu tunaambiwa ndio Usalama wa Taifa basi ilikuwa tafrani moja kwa mojaWatu hawajui kama kuna kipindi mtu kuendesha gari ilikuwa mwisho saa fulani
Kumiliki TV mpaka uwe na kibali pia
Ova
Mwalimu pia alikomaa sana na Mzee rukhsa wetu lakini Mwinyi alikuwa na msimamo na HURUMA.Niliwahi kusikia Mama Sitii alikamatwa Airport Dar akitokea Zenj na dhahabu kibao akiwa safarini kwenda Uarabuni kuziuza. Ikapigwa juu juu na Mrema wa mambo ya ndani. Mzee RUKHSA kwa stories nilizosikia hakuwa msafi hata kidogo.
Watu tulikuwa tunaenda zenji na pport!Hahahaaaa...... Hakika bwashee!
WanaYanga huwa ni wabishi tu wakishanyukwa watapoa tu.Hicho kitabu kimeleta vurugu uwanja wa mkapa!
Mkuu wewe ulizoea mipasho ya diamond nenda sisi tutasomahivi unaweza kupoteza muda wako kabisa unasoma kitabu cha huyu mzee??unapata faida gani humo ndani?kwa background ip?kwa legacy ipi?
kuna mwingine alikuwa anaitwa mkapa naye alitoa kitabu nasikia,mtanzania yupi??