Rais Samia akiendelea na ziara Kanda ya Ziwa jana Juni 16, 20225 amezindua shule ya Wasichana Simiyu, mradi uliogharimu Billioni 4.45 hadi sasa imetumika Billioni 4,159,942,035.37 ikiwa ni majengo 22 ya darasa, Jengo la utawala, maabara 4, nyumba 5 za walimu, Chumba cha Tehama, Chumba cha Maktaba, chumba cha wagonjwa, mabweni 9, bwalo 1, Fensi yenye urefu mita 350 na matundu 16 ya vyoo, pia shule imewezeshwa nishati safi
Ujenzi wa Shule hiyo ilianza August 2023 na kutarajiwa kukamilika Juni 30, 2025
Rais Samia akizungumza na wananchi wa eneo hilo Simiyu amesema sababu za kujengwa shule hiyo ikiwa ni moja ya miradi ya Serikali inayoendeshwa Mikoa mbalimbali, amesema lengo la ketekeleza mradi huo wa shule maalum ya wasichana kanda ya ziwa ni kusadia na kuwapa nafasi watoto wakike ya kujiunga na masomo ya Sayansi kutokana na uchache wa ushiriki wa wasichana katika masomo ya Sayansi
Soma pia: Serikali kujenga Shule maalumu ya wavulana Kanda ya Ziwa