Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

Hizo pikipiki zitadumu ushangae
Imagine pikipiki baada ya miaka 2 inakuwa yako unaanzaje kuifuja?
Ingawa hapa patakuwa na figisu hutoamini
 
Mapesa yote hayo kwenye utafiti wakati wakulima ambao ndio walengwa hawana pembejeo??

Kwanini Serikali isiweke pesa kwenye mbolea ili bei iwe affordable na pia pembejeo nyingine ili kilimo kiwe na tija.

Kila wakati tunadump pesa kwenye mambo yasiyoleta matokeo chanya.
 
Noted
 
Pikipiki Hoyee
Serikali Ianze Kugawa Magari Kwa Madereva Kama Walivyofanya Kwenye Pikipiki
 
Hizo pikipiki zitadumu ushangae
Imagine pikipiki baada ya miaka 2 inakuwa yako unaanzaje kuifuja?
Ingawa hapa patakuwa na figisu hutoamini
Boxer? Tena huko shamba?
Boxer shamba kwa miaka miwili hata uitunzaje itachoka tu
 
Kuijali kwa maneno tu.
Mara zote amekua akiambia kuwa Bei ya pembejeo imepanda Mara 3 wanaomba ashughulikie, lakini kimya. Leo anakuja na hili. Alipaswa aanze na pembejeo.
Sasa uniform za afisa ugani kwa sasa za nn? Kama mkulima kashindwa kununua pembejeo sababu ya Bei kubwa hizo uniform kazi yake inakua nn?
 
Do you have functioning mind? Unadhani kushughukikia ni kiropoka na kupayuka?

This is how we go 👇

 
Umesema sawa na mm nilivyosema/nilichotaka kusema
Sababu ya wafanyabiashara wakubwa mojawapo kushindwa ni operations cost, Kama alihitaji kutumia bil 1 kununua pembejeo, Sasa hivi atahitaji bil 3.
Hawa wafanyabiashara wakubwa waliowekeza kwenye kilimo Wana maafisa ugani wao, serikali ilipaswa kwa Sasa kuwapunguzia Bei ya pembejeo tu. Hayo mengine ndio yangefuata
 
Hizo pikipiki zitadumu ushangae
Imagine pikipiki baada ya miaka 2 inakuwa yako unaanzaje kuifuja?
Ingawa hapa patakuwa na figisu hutoamini
Wanazo walimu,watenda kata nk kwa hiyo sio mara ya kwanza kwa serikali kutoa pikipiki.
 
Do you have functioning mind? Unadhani kushughukikia ni kiropoka na kupayuka?

This is how we go [emoji116]

View attachment 2175524
Robot umekuja,
Bashe alikiri Bei inapandishwa kiholela, ilipaswa ashughulikie huo uholela.
Leo bei 150000, serikali inaweka ruzuku ili Bei ishuke sawa, kesho wakiamka wanaweka Bei 300000, serikali itatoa tena ruzuku?
 
Angalau anataja taja wakulima...Japo kama nilivyosema sijaiona nia ya kweli kwa watu hawa wa hii wizara kuleta mapinduzi...Mbinu zao tu zinaonyesha hutegemei kubwa lolote zaidi ya kutaka kura kutoka kwa wakulima...Siasa nje nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…