Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kapeleka juu juu kabisa hadi vifaa vya ujenzi, vingine vimepanda hata mata 3 ya bei ya awali
 
Amepeleka ufisadi juu piaπŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Tanzania tumepata kiongozi wa ukweli
 
Someni hii kwa makini
 
kazi iendelee
 
Wakulima limeni sana mambo ni safi sana na Rais Samia
 
Wonderful
 
Mama
 
Watu waongeze bidii kwenye kilimo sasa kitalipa zaidi chini ya Mama Samia Suluhu Hassan
 
Wakulima kama wakulima
 
Kazi iendelee Tanzania
 
Nashauri wewe kama ni mkulima basi lima sana pesa ipo,

Nahii ndio tofauti ya Rais Samia na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…