Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinapanda kwakuwa pesa ipo, Purchasing power iko juu
Safi mwandishi,RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO,
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,
Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,
Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg,
Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi,
Yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali,
Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC,
Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo,
Wakati 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo
Huku 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,
Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,
Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,
Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000,
Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
View attachment 2019520
Wanakuja mkuu,Nahitaji choroko; kuna mdau humu na bei zikoje
Nani?Huyu naye na vijinyuzi vyake utadhani ana kiseyeye!😂😂😂😂
Mwandishi.Nani?
Mwandishi.
Yuko vizuri Sana aiseMwandishi.
Muhuni tu huyo.Amuelezee liutenant Urio.Imekaaje?Yuko vizuri Sana aise
Vipi bei ya mbolea imeshuka au imepandaWakulima limeni sana mambo ni safi sana na Rais Samia
mbolea itashuka muda si mrefu,Vipi bei ya mbolea imeshuka au imepanda
Mwaka mmoja wa Mama,RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO,
Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg,
Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg,
Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo uleule bei yake imepanda kwa zaidi ya 100%/kg,
Ukitafuta wastani wa ongezeko la bei kwa mazao yote ya kibiashara yaliyovunwa mpaka sasa utagundua Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza kila zao kwa zaidi ya 100%/kg ndani ya kipindi chake hiki kifupi,
Yaani ameongeza bei mara mbili zaidi ya bei ya awali,
Sote ni mashahidi, Wakati bei za bidhaa nyingine mbalimbali ikipanda mwaka hadi mwaka bei ya choroko haijawahi kuvuka Tshs 1,300 kwa zaidi ya mwongo mmoja leo.
Rais pekee mwanamke Barani Africa na Rais wa kwanza Mwanamke EAC,
Mama Samia Suluhu Hassan kwakutambua kuwa zaidi ya 80% ya Watanzania anaowaongoza wanategemea kilimo,
Wakati 58.1% ni wakulima huku 65% ya malighafi zote za Viwandani zinatokana na kilimo
Huku 100% ya chakula chote duniani kinatokana na kilimo huku kilimo kikichangia 27% kwenye Pato la Taifa (GDP) ,
Mama ameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye Uzalishaji na Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,
Hii ni tofauti kidogo na watangulizi wake wote tangu tupate Uhuru.
Rais Samia amekataa kuuza choroko kwa warehouse recipt Finance (WRF-Stakabadhi ghalani) ili kuondoa gharama za uendeshaji anazokatwa Mkulima kupitia AMCOS kwa kuruhusu biashara huria,
Nandio maana leo wakulima wa choroko wamempokea Rais Samia kama Mama yao kwa kuipaisha bei ya choroko zao.
Kasi ya Rais Samia imeshangaza wengi hasa wakulima wa mazao ya kibiashara,Bei ya choroko nchi China inafikia US$ 1,581/Tani, karibu Tshs 3,500,000,
Bei ipo na ni nzuri nje huenda shida ilikuwa ni haya matozo 232 ambayo Mama Samia aliyoyatoa ndio maana kila kitu ni mseleleko tu.
View attachment 2019520
Mama anatisha balaa,Mwaka mmoja wa Mama,
Mama anatisha mno,Mama anatisha balaa,
Basi kuwa kunguniMpaka naona aibu kuwa chawa
Acha uzezeta, na baki na UCHADEMA wako,Mpaka naona aibu kuwa chawa