Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

Vinapanda kwakuwa pesa ipo, Purchasing power iko juu

Sio kweli unadanganya!! Bidhaa zinapanda bei kwasababu hazikidhi mahitaji ya walaji/wananchi; the demand > supply!!! Mafuta yanapanda bei yote ya kula na ya magari kwasababu hatuna stock ya kutosha; sio kwa sababu watu wana fedha nyingi mifukoni!!
 
Safi mwandishi,
 
Mwaka mmoja wa Mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…