Rais Samia azungumza na Didier Drogba Ikulu Chamwino. Amuomba awe Balozi wa Tanzania kuelekea AFCON 2027

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Naona Didier Drogba ameshajipatia ajira mpya kutoka Tanzania vile atakavyokula kodi za wananchi kwa ulaini kabisa!

Ila ajiandae kwa masimango kutoka kwa Watanzania wenye hasira kali na kodi zao
==============
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza Didier Drogba mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 05 Mei, 2026.

Katika mazungumzo yao Mhe. Rais Dkt. Samia amemuomba Nyota huyo Ivory Coast kuwa Balozi wa Tanzania kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Aidha, Rais Dkt. Samia ameitaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana na mchezaji huyo kubadilishana uzoefu wa kuendesha Vituo vya michezo nchini (Sports Academy).

Soma Pia: Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Mchezaji huyo amemshukuru Rais Dkt. Samia na kuonesha utayari wa kushirikiana na Serikali. Pamoja na mafanikio kadhaa aliyoyapata katika Mpira wa miguu, Mwaka 2005, alifanya ushawishi uliosaidia kusitishwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini kwao vilivyodumu kwa miaka kadhaa.
SnapInsta-Ai_3890399847159848460.jpg
SnapInsta-Ai_3890401346287956618.jpg
 
View attachment 3584212View attachment 3584213
Ila Makonda suti inamkaa vema. Fundi wake ana mkono mzuri.

BASHITE anatakiwa afanye mazoezi hata ikibidi kwa mikwaju.
 
Drogba asikubali atavunja heshima yake. Kushiriki na serikali iliyojaa damu ni hatari sana
 
Back
Top Bottom