Pre GE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aruhusu uchaguzi huru na wa haki aone moto wake, CCM inategemea wizi wa kura na mabavu ya vyombo vya dola hasa polisi na TISS.
Yaani wahuni waliofeli elimu ya sekondari ambao wengi ni viongozi wa chadema ndio wachukue nchi?wakati mwingine tuwe tunakuwa serious aisee
 
Yaani wahuni waliofeli elimu ya sekondari ambao wengi ni viongozi wa chadema ndio wachukue nchi?wakati mwingine tuwe tunakuwa serious aisee
Itoshe tu kusema huna akili na wahuni ni wale waliokaliana uchi wakakuleta duniani.
 
Itoshe tu kusema huna akili na wahuni ni wale waliokaliana uchi wakakuleta duniani.
Tulitee vyeti vyao vya elimu ya Sekondari kama vitathibitisha kuwa nasema uwongo kuwa chadema inaoongozwa na waliofeli elimu ya sekondari nitaondoa msimamo wangu .Naomba tuliteen hapa cheti cha elimu ya sekondari,Sugu,Lema ,Wengr na Mzee Mbowe.
 
Kikubwa chaguzi ziwe huru na haki,Watanzania wachague chama kitakacho ongoza nchi
 
Mawazo mgando haya na onaonesha namna gani walivyo na uchu hata wa kudhuru ili wabaki tu madarakan
 
Wafuasi wa kizmkaz 2025 ndio mtaelewa kuwa bara sio kizmkaz.
 
Kiukweli Karatu mliliheshimisha kabila letu la Wairaqw,hata misimamo yenu imekaa poa sana,hongereni.Pongezi pia kwa Dkt. W.P.Slaa
 
Tulitee vyeti vyao vya elimu ya Sekondari kama vitathibitisha kuwa nasema uwongo kuwa chadema inaoongozwa na waliofeli elimu ya sekondari nitaondoa msimamo wangu .Naomba tuliteen hapa cheti cha elimu ya sekondari,Sugu,Lema ,Wengr na Mzee Mbowe.
Huo upuuzi jadili na wapumbavu wenzako ,unataka nikuwekee vyeti vyao kwani wewe ni TCU? Hizi hoja zako tu unaonyesha wewe ndiye una elimu duni kwani siku zote kazi unayojua ni kumtukana Mchaga mwenzako Mbowe sijui ndiye alikutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti.
 
Kwa kuwa mzee Mbowe ni mchagga mwenzangu nianche kusema ukweli ?tuliteeni cheti chake cha elimu ya Sekondari acheni longo longo aisee.
 
Kwa hili Mh. Rais samia yupo sahihi kabisa na ninaungana naye kwa 100%, mbadala wa CCM bado nchi hii haujapatikana kabisa na hakuna hata dalili za kupatikana hata kwa miaka 10 mbele, hili halina ubishi.
 
Inawezekana vipi chama cha kikanda kuwa sehemu ya serikali?
Huo ni ubaguzi... Nyerere alianzia ukanda wa PWANI na baadae akasambaa nchi nzima.
ccm ya sasa imebaki ya insiders... Wewe na wenzako mkiachiwa uchawa!πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…