Pre GE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hili Mh. Rais samia yupo sahihi kabisa na ninaungana naye kwa 100%, mbadala wa CCM bado nchi hii haujapatikana kabisa na hakuna hata dalili za kupatikana hata kwa miaka 10 mbele, hili halina ubishi.
ccm inabebwa na collabo ya polisi.
Ila siku woga ukiwaishia wadanganyika ccm itaweka kwenye majengo ya kumbukumbu
 
Nikweli kabisaaa 100%, swali rahisi ni hili, Polisi wa nini?
 
Kwa nini yeye ndiye awe wa kuwaamulia waTanzania uwepo wa chama mbadala?
 
Anayetafuta mrithi wa CCM kuongoza ni CCM au Wana chi?

Shibe mbaya san.
Huyu anapo yatamka maneno kama haya, na wananchi wanamsikia waziwazi!
Hii ni dharau kwa waTanzania iliyo pitiliza.
 
Sasa kama hakuna mbadala wa CCM, kwanini aliwaita CHADEMA kufanya mazungumzo ya maridhiano?
Huyu Mama kachanganyikiwa, Wazee wa CCM ni vizuri wakamwabia ukweli kuwa anapaswa kuachia ngazi!
 
Maandamano anaogopa, maneno ya kwenye vicoba
 
Wekeni mazingira ya uchaguzi sawa ili wananchi ndio wafanye maamuzi,sio nyinyi kuwaamulia kwenye vikao vya CCM
 
Huo ni ubaguzi... Nyerere alianzia ukanda wa PWANI na baadae akasambaa nchi nzima.
ccm ya sasa imebaki ya insiders... Wewe na wenzako mkiachiwa uchawa!🤣😂
Mtaendelea kusema uchawa ila msipokubali ukweli kuwa hiki chama ni reginal party na sio a national party ,hivi unafikiri kuwa watu hawataki chama mmbadala ,watanzania wanataka sana ila CDM imeshindwa kuchukua nafasi husika.
 
S
Sure kwa hiyo mabadiliko yatokee hapohapo CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…