Dkt Samia anahitaji msaada tumsaidie sisi wana jukwaa. Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila wahuni walimharibu kwa kumdanganya. Maadui zake kabisa wa kwanza ni wasaka urais, yaani mitandao ya usaka urais. Moja ya hayo Makundi ni ya Makamba, Mwigulu etc. Ambao walijipanga tangu alipowarudisha madarakani. Wengine ni Dkt Nchimbi na kundi lake, tena hao ndiyo wabaya kabisa maana utaona kabisa chuki ya wazi kwa Dkt Samia kupitia Makonda. Mama fyeka wote haoWakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.
Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,
Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,
Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
Hivi nchi hii haiwezi kuendeshwa bila mkuu wake kuwa na maadui??Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.
Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,
Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,
Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
Kizimkazi WeweHaujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
DuhNi kinanani?
Sawa bado tupo msibaniDkt Samia anahitaji msaada tumsaidie sisi wana jukwaa. Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila wahuni walimharibu kwa kumdanganya. Maadui zake kabisa wa kwanza ni wasaka urais, yaani mitandao ya usaka urais. Moja ya hayo Makundi ni ya Makamba, Mwigulu etc. Ambao walijipanga tangu alipowarudisha madarakani. Wengine ni Dkt Nchimbi na kundi lake, tena hao ndiyo wabaya kabisa maana utaona kabisa chuki ya wazi kwa Dkt Samia kupitia Makonda. Mama fyeka wote hao
Hili jamaa hopulesi kabisa!adui wa samia ni wapanda minara
View attachment 3048650
Huo ushirikina basi,Kila mmoja mchawi ,heboo !Dkt Samia anahitaji msaada tumsaidie sisi wana jukwaa. Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila wahuni walimharibu kwa kumdanganya. Maadui zake kabisa wa kwanza ni wasaka urais, yaani mitandao ya usaka urais. Moja ya hayo Makundi ni ya Makamba, Mwigulu etc. Ambao walijipanga tangu alipowarudisha madarakani. Wengine ni Dkt Nchimbi na kundi lake, tena hao ndiyo wabaya kabisa maana utaona kabisa chuki ya wazi kwa Dkt Samia kupitia Makonda. Mama fyeka wote hao
Atakuwa hana furaha kabisa huyu mzee huko alipo. Maana kati ya kitu kitakuaa mapema ni kijana wake akae bila madaraka
Adui take mkubwa no huyu hapa"Labda mambo yaharibike sana" akiwatumia vijana wake ambae mmoja wa kijana akalopoka "hata kama humkubali no wetu"Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.