Pre GE2025 Rais Samia bado hujamjua adui yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.

Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,

Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,

Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
 
A790FE4B-AA99-4FDB-BE9B-D39F2F8F27A8.jpeg

Kanda ya ziwa nawaachia Waarabu
 
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.

Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,

Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,

Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
Dkt Samia anahitaji msaada tumsaidie sisi wana jukwaa. Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila wahuni walimharibu kwa kumdanganya. Maadui zake kabisa wa kwanza ni wasaka urais, yaani mitandao ya usaka urais. Moja ya hayo Makundi ni ya Makamba, Mwigulu etc. Ambao walijipanga tangu alipowarudisha madarakani. Wengine ni Dkt Nchimbi na kundi lake, tena hao ndiyo wabaya kabisa maana utaona kabisa chuki ya wazi kwa Dkt Samia kupitia Makonda. Mama fyeka wote hao
 
Hivi nchi hii haiwezi kuendeshwa bila mkuu wake kuwa na maadui??
 
Dkt Samia anahitaji msaada tumsaidie sisi wana jukwaa. Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila wahuni walimharibu kwa kumdanganya. Maadui zake kabisa wa kwanza ni wasaka urais, yaani mitandao ya usaka urais. Moja ya hayo Makundi ni ya Makamba, Mwigulu etc. Ambao walijipanga tangu alipowarudisha madarakani. Wengine ni Dkt Nchimbi na kundi lake, tena hao ndiyo wabaya kabisa maana utaona kabisa chuki ya wazi kwa Dkt Samia kupitia Makonda. Mama fyeka wote hao
Sawa bado tupo msibani
 
Huo ushirikina basi,Kila mmoja mchawi ,heboo !
 
Atakuwa hana furaha kabisa huyu mzee huko alipo. Maana kati ya kitu kitakuaa mapema ni kijana wake akae bila madaraka
Hapo sukari,presha vimepanda leo
 
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.

Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,

Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,

Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja
Adui take mkubwa no huyu hapa"Labda mambo yaharibike sana" akiwatumia vijana wake ambae mmoja wa kijana akalopoka "hata kama humkubali no wetu"

Hizi labda ndio zitatumika kumfanya mama asigombee ,wakubwa wakamindose mwingine!!!
 
Back
Top Bottom