mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.
Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,
Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai umeamini,
Haujui maadi zako natamani nikwambie adui zako ni kinanani ila ngoja kwanza nakuja