Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Mkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.

Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.

Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
Good
 
Mngetuwekea na kapicha/Mchoro ili tuone jinsi hizo Ringroads zitakazofanya kazi,maana kwa sisi wengine wenye uelewa mdogo bado mnatuchanganya tu...
JamiiForums762961699.jpg
 
Hua nina wasiwasi na ID ya yule bibi kizee (Faiza/Faidha Fox) wa humu kwamba huenda ni ya Samia Suluhu Hasani! Ni mtazamo wangu tu 😀😀😀😀😀
Ndiyo yeye yule, kuna siku nilimbananisha na swali tata hakujibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FaizaFoxy ndiye Samia mwenyewe huoni siku hizi amepunguza kuingia jamvini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
I hope mama ataisikia Tena Sauti ya JPM ikimtaka amalize mradi wa Rufiji tupate umeme wa kueleweka,maana tunachopitia Sasa kwenye suala la umeme Ni kitu cheusi Sana!
Ule mradi unaendelea kwa kasi sana
 
Tunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.

Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
Dodoma ya leo si Zamani,kweli Hali ya hewa sio nzuri Ila tunaweza kurekebisha Kama ambavyo imepandwa miti kwa Sasa,nadhani wakiongea miti mingine patakuwa poa hakuna linaloshindikana kwenye juhudi.Kuhusu barabara watatanua usijali
 
Tunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.

Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
Kwa hiyo Master plan aliandaa Hayati Magufuli????
 
Mbona hukusema hzi pumba zako kabla ya 2015 au bado ulikuwa kinder? Unafiki umekujaa sana wewe mdanganyika! Miaka 40+ imepita na Dodoma haikuendelezwa kama makao makuu hiyo hela ambayo haikuendeleza Dodoma kuwa makao makuu kwa wakti huo mbona haikusidia kutimiza hzo ndoto zako?
Wewe huna kitu,hujui unasema nini,na watu sampuli hawakosekani.Mbona niko hapo hata kabla hujazaliwa wewe dogo.Kwa kuwa akili ni mali tugeanzia na chekechea.Kwanza una stress pima BP.so sad.
 
Jikite kwenye hoja
 
Back
Top Bottom