Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
GoodMkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.
Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.
Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
Mngetuwekea na kapicha/Mchoro ili tuone jinsi hizo Ringroads zitakazofanya kazi,maana kwa sisi wengine wenye uelewa mdogo bado mnatuchanganya tu...
koma!Magufuli na Nyerere bado wanaishi!
au ni wewe
Haya sasaπππHua nina wasiwasi na ID ya yule bibi kizee (Faiza/Faidha Fox) wa humu kwamba huenda ni ya Samia Suluhu Hasani! Ni mtazamo wangu tu πππππ
Ndiyo yeye yule, kuna siku nilimbananisha na swali tata hakujibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hua nina wasiwasi na ID ya yule bibi kizee (Faiza/Faidha Fox) wa humu kwamba huenda ni ya Samia Suluhu Hasani! Ni mtazamo wangu tu πππππ
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndiyo yeye yule, kuna siku nilimbananisha na swali tata hakujibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FaizaFoxy ndiye Samia mwenyewe huoni siku hizi amepunguza kuingia jamvini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule mradi unaendelea kwa kasi sanaI hope mama ataisikia Tena Sauti ya JPM ikimtaka amalize mradi wa Rufiji tupate umeme wa kueleweka,maana tunachopitia Sasa kwenye suala la umeme Ni kitu cheusi Sana!
Dodoma ya leo si Zamani,kweli Hali ya hewa sio nzuri Ila tunaweza kurekebisha Kama ambavyo imepandwa miti kwa Sasa,nadhani wakiongea miti mingine patakuwa poa hakuna linaloshindikana kwenye juhudi.Kuhusu barabara watatanua usijaliTunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.
Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
Naamini itakuwa hivyoKama Ni hivyo,nauombea uishe upesi!
Kwa hiyo Master plan aliandaa Hayati Magufuli????Tunaweza kubadilisha mwngi kuifanya Dodoma inawiri lakini itaendelea kuwa mbaya kwa sababu ubaya wa Dodoma ni wa asili. Hali ya hewa ni mbaya, hatuwezi kubadilisha. Ardhi yake ni mbaya, tunaweza kurekebisha kiasi lakini hatuwezi kubadilisha.
Lakini pia hata yale ambayo hufanywa na mwanadamu, Dodoma yamefanyika hovyo sana. Dodoma ina barabara finyu katikati ya mji. Yaani Tabora iliyopangwa na wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800, ina barabara pana na ina mpangilio mzuri maradufu ya Dodoma iliyopangwa na CDA miaka ya 1980, yaani Wajerumani wa miaka ya 1800 walikuwa na akili na weledi kuliko wataalam wa CDA wa miaka ya 1980.
Magufuli na Nyerere bado wanaishi!
Wew ni falaMipango sio matumizi, marehemu hawezi kufufuka mnapoteza mda,signature na alama itabakia kuwa ya Samia..
Habari za sijui alianzisha sijui nini,mipango na vya kuanzisha viko toka enzi za Mwalimu.
Mh
Wewe huna kitu,hujui unasema nini,na watu sampuli hawakosekani.Mbona niko hapo hata kabla hujazaliwa wewe dogo.Kwa kuwa akili ni mali tugeanzia na chekechea.Kwanza una stress pima BP.so sad.Mbona hukusema hzi pumba zako kabla ya 2015 au bado ulikuwa kinder? Unafiki umekujaa sana wewe mdanganyika! Miaka 40+ imepita na Dodoma haikuendelezwa kama makao makuu hiyo hela ambayo haikuendeleza Dodoma kuwa makao makuu kwa wakti huo mbona haikusidia kutimiza hzo ndoto zako?
Come with a fact.Theory kama za motivational speakers
Jikite kwenye hojaWewe huna kitu,hujui unasema nini,na watu sampuli hawakosekani.Mbona niko hapo hata kabla hujazaliwa wewe dogo.Kwa kuwa akili ni mali tugeanzia na chekechea.Kwanza una stress pima BP.so sad.
Kama baba yako
Cheti huwa kinakutesa acha wizi ulikuwaunawanyoya watuRubbish,usisababishe nikapigwa ban ngoja nitulie.