Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Katika Awamu ya tano kuna vujana viongozi wa liotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo Watanzania kwa kumuondoa zOle Sabaya , Mkuu wa Wilaya ya Hai , aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa Chama, kina Makama na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa? Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.Katika Awamu ya tano kuna vujana viongozi wa liotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo Watanzania kwa kumuondoa zOle Sabaya , Mkuu wa Wilaya ya Hai , aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa Chama, kina Makama na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
Huyo alizuiwa tu kukiweka kijiji chote ndani, na alishaanza.Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa?
Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Domonkaya yule. Kwanza aliongea na Magufuli kwa simu, wakati huo Magufuli hajitambui na anakaribia kukata roho.Sasa Chalamila ana tatizo gani? Mbona anachapa kazi Kwa weledi kabisa?
Weka hapa tuhuma ulizonazo dhidi ya Chalamila.
Chalamila na Hapi ni washamba wa madaraka na hawajijui.Irudi kama zamani ,vyeo hivyo wapewe 40+ maana hawa vijana wa 20s-mid 30s wana mihemuko sana.
Chalamila ndiye aliyeleta bajaji Mbeya mjini? Hizi ni chuki za kijinga na wivu tu. Mbeya mjini bajaji zimefurika kabla ya ujio wa Chalamila. Pia hata hizo bajaji zipo Kwa ajili ya watanzania hasa tabaka la chini. Hizo gari kubwa unazosema mbona hamzipeleki Isanga?Uyu chalamila Kwanza mshamba Sanaa anatutesea ndugu zetu mbeya tulikua Nagari ndogo za abilia tunaleta kubwa yeye anatuletea bajaji? Au nayeye kawekeza kwenye bajaji alafu anajitapa ataleta magari ya jeshi kipindi chanyuma alitutolea nduguzetu pale kabwe alipo ongea nawafanyabiashara mama,dada waliteseka Sanaa uyu arud kwao iringa akalime nyanya avune machungwa
Kwa kweli watanzania tupunguze ushabiki. Unalielewa vizuri tukio unalilizungumzia?Huyo alizuiwa tu kukiweka kijiji chote ndani, na alishaanza.
Mkuu ni wewe mwenyewe Chalamila au?Kwa kweli watanzania tupunguze ushabiki. Unalielewa vizuri tukio unalilizungumzia?
Vijana wa kijiji cha Ngole waliharibu miundombinu ya maji iliyokuwa inafadhiliwa na Wamarekani katika kijiji cha Mashese.
Ulitaka mkuu wa mkoa akiwa Kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa afanye nini ili kudhibiti ujinga na upambavu ule? Je huon Kama kauli na amri Ile vilimaliza mgogoro ule ambao kimsingi ungeweza kuleta maafa makubwa Kama watu wa Mashese wangeamua kujibu Mapigo?
Kuna viongozi waliongea kwa simu na wafu!Kila kiongozi unae mchukia utakuja hapa JF kudai aondolewe hata kama hana kosa lolote linalojulikana?
Huyo alizuiwa tu kukiweka kijiji chote ndani, na alishaanza.
Sikiliza,. Mimi sio Chalamila na wala sina maslahi ya moja Kwa moja kutoka kwake. Lakini penye ukweli lazima niseme. Tuhuma nyingi Kwa Chalamila kimsingi si tuhuma Bali majungu, ufuata mkumbo na ulimbukeni tulionao watanzania wengi kuzungumzia Mambo ambayo hatuyajui vizuri.Mkuu ni wewe mwenyewe Chalamila au?
Anza kutia maji unyolewe vizuri.