Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salum Ally Hapi kipi kibaya amekifanya ?!!Katika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa chama, kina Makama na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
🤣🤣Na hilo tatizo linaanzia wapi ndugu yangu ?!!Tanzania kama huna PHD ya kupika MAJUNGU na FITINA huwezi KUDUMU kazini au kwenye siasa.
Unamtetea sana ila jamaa hana busara ya kiuongozi.Sikiliza,. Mimi sio Chalamila na wala sina maslahi ya moja Kwa moja kutoka kwake. Lakini penye ukweli lazima niseme. Tuhuma nyingi Kwa Chalamila kimsingi si tuhuma Bali majungu, ufuata mkumbo na ulimbukeni tulionao watanzania wengi kuzungumzia Mambo ambayo hatuyajui vizuri.
Ukianza kula nyama ya binadamu hutaacha.kila mtendaji ni mbaya na mzuri ni nani.muacheni mama afanye kazi zake msimsemee.kwa Nini mnanlisha maneno?Mama hawezifanya kazi kwa maneno ya humu mtandaoni.Katika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa chama, kina Makama na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama johnUyu chalamila Kwanza mshamba Sanaa anatutesea ndugu zetu mbeya tulikua Nagari ndogo za abilia tunaleta kubwa yeye anatuletea bajaji?
Au nayeye kawekeza kwenye bajaji alafu anajitapa ataleta magari ya jeshi kipindi chanyuma alitutolea nduguzetu pale kabwe alipo ongea nawafanyabiashara mama, dada waliteseka Sanaa uyu arud kwao iringa akalime nyanya avune machungwa.
Vipi na wewe ni mfuasi wa Chama cha Magufuli (CCM) , kama alivyopendekeza Chalamila?Ukianza kula nyama ya binadamu hutaacha.kila mtendaji ni mbaya na mzuri ni nani.muacheni mama afanye kazi zake msimsemee.kwa Nini mnanlisha maneno?Mama hawezifanya kazi kwa maneno ya humu mtandaoni.
Aliwatishia maisha wakongwe wa CCM, Kinana , Makamba na akina Nape.Salum Ally Hapi kipi kibaya amekifanya ?!!
Comrade ,umeamua kumchafua MTANZANIA mwenzako ?!!!
Msiwe wanafiki.Ukiona serikali iko bize kufatilia ushabiki wa mitandaoni.... Pole..... wakati huku ndipo kumejaa wezi na wazandiki wenye tamaa ya mafanikio ya haraka
Mitandaoni kumejaa chuki na unafiki,mtu analia umaskini wakati anatumia SM-J8 kucomment mitandaoni.
Umaskini upo mitaani, ukijiona wewe unatumia mitandao ya social media just upo daraja la Kati kimaisha, tuache unafiki kulia lia humu.
Serikali ifatilie manunguniko ya wananchi wa chini ambao hata kumiliki simu ya rununu kwake ni ndoto
Tusiwe washabiki watu kwa kuwanafiki wengine kwa manufaa ya mwengine
Kama mtu katenda kosa Sheria zipo wazi, tafuta ushahidi fungua shauri la kesi mahakamani, katiba na Sheria ipo wazi kwa hilo
Huyo alizuiwa tu kukiweka kijiji chote ndani, na alishaanza.
Mnakimbilia kwenye ukabila ili tusiwaseme Nani kazungumzia ukabila?Mmeanza ukabila hii dhambi itawamaliza basi na wanyakyusa wote walioko nje ya mbeya nao warudi kwao Mbeya si ndo mnavyotaka.wanyakyusa mmezoea ukabila wakati nyie mmejazana mikoa ya watu na nyie muondolewe mkakae kwenu mwanjelwa na kwa mama john
Chalamila ndiye aliyeleta bajaji Mbeya mjini? Hizi ni chuki za kijinga na wivu tu. Mbeya mjini bajaji zimefurika kabla ya ujio wa Chalamila. Pia hata hizo bajaji zipo Kwa ajili ya watanzania hasa tabaka la chini. Hizo gari kubwa unazosema mbona hamzipeleki
Atukatai bajaji tunataka ziwe katika utalatibuChalamila ndiye aliyeleta bajaji Mbeya mjini? Hizi ni chuki za kijinga na wivu tu. Mbeya mjini bajaji zimefurika kabla ya ujio wa Chalamila. Pia hata hizo bajaji zipo Kwa ajili ya watanzania hasa tabaka la chini. Hizo gari kubwa unazosema mbona hamzipeleki Isanga?
Baada ya kusoma comment kadhaa nimegundua wewe ni Chalamila, hutoshi I.dotKwa kweli watanzania tupunguze ushabiki. Unalielewa vizuri tukio unalilizungumzia?
Vijana wa kijiji cha Ngole waliharibu miundombinu ya maji iliyokuwa inafadhiliwa na Wamarekani katika kijiji cha Mashese.
Ulitaka mkuu wa mkoa akiwa Kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa afanye nini ili kudhibiti ujinga na upambavu ule? Je huon Kama kauli na amri Ile vilimaliza mgogoro ule ambao kimsingi ungeweza kuleta maafa makubwa Kama watu wa Mashese wangeamua kujibu Mapigo?
Sikiliza,. Mimi sio Chalamila na wala sina maslahi ya moja Kwa moja kutoka kwake. Lakini penye ukweli lazima niseme. Tuhuma nyingi Kwa Chalamila kimsingi si tuhuma Bali majungu, ufuata mkumbo na ulimbukeni tulionao watanzania wengi kuzungumzia Mambo ambayo hatuyajui vizuri.
Hata mie Chalamila sioni kama ana tatizo,yule kelele tu tantalila nyingi ila sidhani kama ana shida
Orodha ni ndefu sana kwa wateule wa jiwe.Katika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa chama, kina Makamba na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.