Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya.

Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake.

Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya kuongoza, just focus on your strategies, kelele zita ku-distract.

Nataka niwahakikishieni DP World ikianza kufanya kazi, mtajua hamjui.

Nawasilisha container(40ft) la maua kwa mama.

Mungu aendelee kumtunza.
 
Kwangu mimi baada ya Mkapa anafuata huyu mama, ni vitendo vingi
Kwangu Mimi huyu ndio Rais atawafunika wote ukimtoa Nyerere ambae tunamstahi Kwa sababu ni muasisi..

Nitajie rekodi ambayo Samia hajaivunja Kwa kulinganisha na watangulizi.

Ndani ya miaka 2 Samia amekuza GDP kutoka bln 70 Dola Hadi bln 75 mwaka 2022 na Mwaka huu wa 2023 WB wanasema uchumi utafika Dola bil.85 na reflection ya hii ni kwenye Bajeti zoote kuanzia ya Ulinzi Hadi Sanaa na Michezo..

Subiria Mungu akaimpa uhai Hadi 2030, sidhani kama Kuna Nchi itatufikia..

Jana nimemsikia Mafuru wa Kituo Cha Mikutano Cha AICC alieleza ambavyo Nchi imepanda kutoka ya 15 Hadi ya 5 Africa Kwa ku host sana Conference Tourism na chachu ya yote ni sera rafiki za Serikali ya Samia.
 
Kwangu Mimi huyu ndio Rais atawafunika wote ukimtoa Nyerere ambae tunamstahi Kwa sababu ni muasisi...
Indeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji.

Ukifuatilia mtandao wa barabara za lami anazotandika, shule anazo jenga na kuboresha, hospitali na mambo mengi anayoyafanya.

Kwa kweli apewe maua yake
 
Indeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji...
Hakuna propaganda Wala blaa blaa anaetaka takwimu azitafute any source atapata.
Screenshot_20230710-073315.jpg
Screenshot_20230710-073825.jpg
 
Kwa kweli kama facts ndio hizo apewe credit zake, mama ni mtendaji na watendaji sio wapiga domo.
 
Kama kuuzwa kwa Tanganyika hakutaiangusha CCM, basi hakuna kitu kitakuja kuwaangusha milele!
 
Kama kuuzwa kwa Tanganyika hakutaiangusha CCM, basi hakuna kitu kitakuja kuwaangusha milele!
 
Wazibua vyoo wa Bi kirembwe at work!!, Kabla hatujawafikia hao wazanzibar tutaanza na nyie kuwachoma Moto na familia zenu.
 
Indeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji. Ukifuatilia mtandao wa barabara za lami anazotandika, shule anazo jenga na kuboresha, hospitali na mambo mengi anayoyafanya. Kwa kweli apewe maua yake
Wanaona ila wanajifanya vipofu .mama kanyaga twende tumechelewa sana
 
Wazibua vyoo wa Bi kirembwe at work!!, Kabla hatujawafikia hao wazanzibar tutaanza na nyie kuwachoma Moto na familia zenu.
Mnaongozwa na hisia pasi na uhalisia
 
Back
Top Bottom