MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kwangu mimi baada ya Mkapa anafuata huyu mama, ni vitendo vingiMama Kamatia humo humo tulicheleweshwa sana Maendeleo na wapigaji
Kwangu Mimi huyu ndio Rais atawafunika wote ukimtoa Nyerere ambae tunamstahi Kwa sababu ni muasisi..Kwangu mimi baada ya Mkapa anafuata huyu mama, ni vitendo vingi
Indeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji.Kwangu Mimi huyu ndio Rais atawafunika wote ukimtoa Nyerere ambae tunamstahi Kwa sababu ni muasisi...
group la vilaza likiambizana ujinga ujingaBila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya...
Baada ya miaka mitano utarudi kuomba msamaha, mark my wordsgroup la vilaza likiambizana ujinga ujinga
Hakuna propaganda Wala blaa blaa anaetaka takwimu azitafute any source atapata.Indeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji...
Kama kuuzwa kwa Tanganyika hakutaiangusha CCM, basi hakuna kitu kitakuja kuwaangusha milele!
Wanaona ila wanajifanya vipofu .mama kanyaga twende tumechelewa sanaIndeed, facts na data ziko wazi, wengi wetu ni wavivu kuchakata hayo. Huyu mama ni mtendaji. Ukifuatilia mtandao wa barabara za lami anazotandika, shule anazo jenga na kuboresha, hospitali na mambo mengi anayoyafanya. Kwa kweli apewe maua yake
Mnaongozwa na hisia pasi na uhalisiaWazibua vyoo wa Bi kirembwe at work!!, Kabla hatujawafikia hao wazanzibar tutaanza na nyie kuwachoma Moto na familia zenu.
Hata kama huoni ndugu zako watasoma na kutibiwa kwenye shule na hospitali zilizojengwa na huyu mama kwa miaka miwili hiiUtakuwa na makengeza.
HakikaWenye chuki na wajinga hawakuelewa huyu mama ana akili mingi sana kibiashara tunatoboa ndani ya muda mfupi sana
Sawa mke wa kitenge....Mnaongozwa na hisia pasi na uhalisia