Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP).

Rais Samia ameeleza hayo leo tarehe 01 Machi, 2025 alipotembelea Bandari ya Tanga na kuzungumza na wafanyakazi wa Bandari Mkoani Tanga na kusisitiza umuhimu wa barabara hiyo katika kurahisisha usafiri na kuchochea uwekezaji kati ya Mkoa wa Tanga na Singida.

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.53.51.jpeg

“Barabara hii ni muhimu sana kwa maendeleo yetu ya Bandari, nimezungumza na Waziri hii barabara tuifanye kwenye PPP, tusiwaachie Wizara ya Ujenzi hii barabara haitakwenda haraka”, amesema Rais Samia.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ameeleza kuwa barabara hiyo ni muhimu kwani ndiyo inayotarajiwa kubeba magari makubwa ya mizigo yanayotoka Tanga na kupeleka maeneo mengine na hivyo kuagiza iwekewe mageti ‘road tolls’ kwa ajili ya watu kulipa.

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.53.54.jpeg

Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameeleza kuwa barabara ya Handeni - Kiberashi hadi Singida ikijengwa italeta ufanisi mkubwa wa Bandari ya Tanga kwani itapunguza usafiri wa kwenda Singida kwa takribani kilometa 250 na kupunguza matumizi ya mafuta kati ya lita 100 mpaka 120.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.53.52.jpeg
    WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.53.52.jpeg
    247.6 KB · Views: 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP).

Rais Samia ameeleza hayo leo tarehe 01 Machi, 2025 alipotembelea Bandari ya Tanga na kuzungumza na wafanyakazi wa Bandari Mkoani Tanga na kusisitiza umuhimu wa barabara hiyo katika kurahisisha usafiri na kuchochea uwekezaji kati ya Mkoa wa Tanga na Singida.

View attachment 3254836

“Barabara hii ni muhimu sana kwa maendeleo yetu ya Bandari, nimezungumza na Waziri hii barabara tuifanye kwenye PPP, tusiwaachie Wizara ya Ujenzi hii barabara haitakwenda haraka”, amesema Rais Samia.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ameeleza kuwa barabara hiyo ni muhimu kwani ndiyo inayotarajiwa kubeba magari makubwa ya mizigo yanayotoka Tanga na kupeleka maeneo mengine na hivyo kuagiza iwekewe mageti ‘road tolls’ kwa ajili ya watu kulipa.

View attachment 3254841

Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameeleza kuwa barabara ya Handeni - Kiberashi hadi Singida ikijengwa italeta ufanisi mkubwa wa Bandari ya Tanga kwani itapunguza usafiri wa kwenda Singida kwa takribani kilometa 250 na kupunguza matumizi ya mafuta kati ya lita 100 mpaka 120.
Sawa Mama anafanya ya heri

Tangu mama amteue Kafulila kwakweli PPP imeanza kufanya Chochote,

Hongera Samia,
Hongera Kafulila
 
Mama hana mchezo kwa kutuletea maendeleo.
 
Naona Kafulila Sasa kashushiwa zigo jingine la barabara muhimu ya kibiashara,
Hii PPP ndio itakuwa mkombozi wa Taifa hili
 
Mama na Kafulila wataipeleka hii nchi mbali sana
 
Tukiyafurahia mazuri haya tunaitwa MACHAWA....

Kwa makubwa na mazuri ayafanyayo mh.Rais SSH ni uamuzi wenu kutuita majina yoyote mpendayo.....

#Mh.Rais Samia anaupiga mwingi ilioje!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP).

Rais Samia ameeleza hayo leo tarehe 01 Machi, 2025 alipotembelea Bandari ya Tanga na kuzungumza na wafanyakazi wa Bandari Mkoani Tanga na kusisitiza umuhimu wa barabara hiyo katika kurahisisha usafiri na kuchochea uwekezaji kati ya Mkoa wa Tanga na Singida.

View attachment 3254836

“Barabara hii ni muhimu sana kwa maendeleo yetu ya Bandari, nimezungumza na Waziri hii barabara tuifanye kwenye PPP, tusiwaachie Wizara ya Ujenzi hii barabara haitakwenda haraka”, amesema Rais Samia.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ameeleza kuwa barabara hiyo ni muhimu kwani ndiyo inayotarajiwa kubeba magari makubwa ya mizigo yanayotoka Tanga na kupeleka maeneo mengine na hivyo kuagiza iwekewe mageti ‘road tolls’ kwa ajili ya watu kulipa.

View attachment 3254841

Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameeleza kuwa barabara ya Handeni - Kiberashi hadi Singida ikijengwa italeta ufanisi mkubwa wa Bandari ya Tanga kwani itapunguza usafiri wa kwenda Singida kwa takribani kilometa 250 na kupunguza matumizi ya mafuta kati ya lita 100 mpaka 120.
Samia ni Bora sana kwenye Urais
 
Sijui ni kwa nini hii PPP inashabikiwa sana? Imekaa kihasara Sana. Long term project ya zaidi ya miaka 30 ni sawa na serikali iliyokaa madarakani kwa awamu sita za miaka 5 mitano.
Hizi awamu sita zote kweli zitashindwa kazi?
Waangalie mfano huu wa hii barabara inayoitwa Cormanic - Brasov - highway na wajifunze madhara ya kujenga barabara Kwa mtindo huu wa ppp- kiufupi ni kwamba hailipi- Another failure for Romania’s Comarnic-Brasov highway project

Wajipange na Tanroad waijenge, PPP itawatwisha serikali zigo la madeni na hata wazungu hawaishabii sana.
Chukueni mkopo wa RIBA nafuu, muijenge Kwa haraka na kwa bei nafuu na muweke hizo toll ambazo zitarejesha huo mkopo Kwa muda mfupi badala ya ppp ambayo Ina gharama sana.
 
Kupata mkopo nafuu kwa kipande hiki, acha tutafute pesa kwa ajili ya SGR, wewe umeangalia upande wa gharama za moja kwa moja tu hujafanya cost-benefit analysis.
 
Hiyo cost benefit analysis ikoje Ndugu yangu ? Toa mchangunuo wake. Nachoweza kusema ni kwamba, long term , ppp ni shida ingawaje inashabikiwa sana. PPP nimeisoma na ninaifanyia kazi, na ninaijua sana na madhara yake- mifano ni mingi- sipendi tupigwe mnada au ma-investor waimiliki barabara Milele- awamu sita- miaka 30 sio mchezo mchezo. Kuna namna nyingi Sana za ku-raise funds na tukafanya mambo yetu bila kukimbilia hizo long term project za miaka hadi miaka. Huo mfano nilio utoa ni mojawapo wa somo tosha, mwingine soma hapa report ya world bank : PUBLIC-PRIVATE-PARTNERSHIP LEGAL RESOURCE CENTER. Au soma hapa wa- Lativia wanavyosema: https://finmin.lrv.lt/en/competence...nership-ppp/ppp-advantages-and-disadvantages/
 
Sijui ni kwa nini hii PPP inashabikiwa sana? Imekaa kihasara Sana. Long term project ya zaidi ya miaka 30 ni sawa na serikali iliyokaa madarakani kwa awamu sita za miaka 5 mitano.
Hizi awamu sita zote kweli zitashindwa kazi?
Waangalie mfano huu wa hii barabara inayoitwa Cormanic - Brasov - highway na wajifunze madhara ya kujenga barabara Kwa mtindo huu wa ppp- kiufupi ni kwamba hailipi- Another failure for Romania’s Comarnic-Brasov highway project

Wajipange na Tanroad waijenge, PPP itawatwisha serikali zigo la madeni na hata wazungu hawaishabii sana.
Chukueni mkopo wa RIBA nafuu, muijenge Kwa haraka na kwa bei nafuu na muweke hizo toll ambazo zitarejesha huo mkopo Kwa muda mfupi badala ya ppp ambayo Ina gharama sana.
Kweli kabisa, PPP mimi siikuballi, kama barabara ya chalinze Moro imeshindikana sembuse Handeni.

Bora ijengwe polepole kw miaka miwili au mitatu, kila mwaka kilometa 150. Barabara za umma zisiwe za kulipia
 
Ivi

Ile ya Kibaha-moro imeanza?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP).

Rais Samia ameeleza hayo leo tarehe 01 Machi, 2025 alipotembelea Bandari ya Tanga na kuzungumza na wafanyakazi wa Bandari Mkoani Tanga na kusisitiza umuhimu wa barabara hiyo katika kurahisisha usafiri na kuchochea uwekezaji kati ya Mkoa wa Tanga na Singida.

View attachment 3254836

“Barabara hii ni muhimu sana kwa maendeleo yetu ya Bandari, nimezungumza na Waziri hii barabara tuifanye kwenye PPP, tusiwaachie Wizara ya Ujenzi hii barabara haitakwenda haraka”, amesema Rais Samia.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ameeleza kuwa barabara hiyo ni muhimu kwani ndiyo inayotarajiwa kubeba magari makubwa ya mizigo yanayotoka Tanga na kupeleka maeneo mengine na hivyo kuagiza iwekewe mageti ‘road tolls’ kwa ajili ya watu kulipa.

View attachment 3254841

Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameeleza kuwa barabara ya Handeni - Kiberashi hadi Singida ikijengwa italeta ufanisi mkubwa wa Bandari ya Tanga kwani itapunguza usafiri wa kwenda Singida kwa takribani kilometa 250 na kupunguza matumizi ya mafuta kati ya lita 100 mpaka 120.
Hiyo barabara kufikia october 2025 itakua imeisha ama?...Au ndio ameshajihakikishia ushindi wa goli mkono wa goli la mikono kama kawaida?..

Inakua anazindua miradi mpya ili hali muda wake wa uongozi umefikia tamati....

Hii inchi kweli katiba yake inahitaji marekebisho.
 
..kuna barabara inayokwenda kuipa nguvu bandari ya Mombasa dhidi ya Dar Es Salaam. Nadhani Geza Ulole anaifahamu barabara hiyo.
 
Back
Top Bottom