Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tueleze mpaka Leo PPP imefanya kitu Gani kilichokamilika zaidi ya porojo na ahadi?Sawa Mama anafanya ya heri
Tangu mama amteue Kafulila kwakweli PPP imeanza kufanya Chochote,
Hongera Samia,
Hongera Kafulila
Mimi sikatai wish tujenge wenyewe labda tujitathmin kwanza, sawa kuna huu mradi wa barabara at least kuna mwangaza, je kuna miradi mingapi ya kimkakati inahitaji fedha tukisema tunauzungumzia na huu utaonekana kwa karibu? na ndio maana serikali imeona ili ku_rescue na utekelezaji wake uende kwa haraka ni vyema tushirikiane na sekta binafsi. Utanzania kwanza wkt wa utekelezaji hilo ni suala jingine kbsKweli kabisa, PPP mimi siikuballi, kama barabara ya chalinze Moro imeshindikana sembuse Handeni.
Bora ijengwe polepole kw miaka miwili au mitatu, kila mwaka kilometa 150. Barabara za umma zisiwe za kulipia
Dah kweliWalevi wanaonewa sana asee kila mwaka wanapandishiwa kodi wao tu.
Kwanini isijengwe kwa Usoda?
Nenda Palestine Jiulize 1950 nakadhalika wale majew walikuwa wanaingia mikataba ya aina gani?Tukiyafurahia mazuri haya tunaitwa MACHAWA....
Kwa makubwa na mazuri ayafanyayo mh.Rais SSH ni uamuzi wenu kutuita majina yoyote mpendayo.....
#Mh.Rais Samia anaupiga mwingi ilioje!
Maneno yamezidi hakuna wakandarasi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP).
Rais Samia ameeleza hayo leo tarehe 01 Machi, 2025 alipotembelea Bandari ya Tanga na kuzungumza na wafanyakazi wa Bandari Mkoani Tanga na kusisitiza umuhimu wa barabara hiyo katika kurahisisha usafiri na kuchochea uwekezaji kati ya Mkoa wa Tanga na Singida.
View attachment 3254836
“Barabara hii ni muhimu sana kwa maendeleo yetu ya Bandari, nimezungumza na Waziri hii barabara tuifanye kwenye PPP, tusiwaachie Wizara ya Ujenzi hii barabara haitakwenda haraka”, amesema Rais Samia.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Rais Samia ameeleza kuwa barabara hiyo ni muhimu kwani ndiyo inayotarajiwa kubeba magari makubwa ya mizigo yanayotoka Tanga na kupeleka maeneo mengine na hivyo kuagiza iwekewe mageti ‘road tolls’ kwa ajili ya watu kulipa.
View attachment 3254841
Kwa upande wake, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameeleza kuwa barabara ya Handeni - Kiberashi hadi Singida ikijengwa italeta ufanisi mkubwa wa Bandari ya Tanga kwani itapunguza usafiri wa kwenda Singida kwa takribani kilometa 250 na kupunguza matumizi ya mafuta kati ya lita 100 mpaka 120.
Hakuna chochote yaani anaji brand badala ya kuleta wakandarasi site.Sawa Mama anafanya ya heri
Tangu mama amteue Kafulila kwakweli PPP imeanza kufanya Chochote,
Hongera Samia,
Hongera Kafulila
Anajibrand yeye au anambrand Samia?Hakuna chochote yaani anaji brand badala ya kuleta wakandarasi site.
Sawa Mama anafanya ya heri
Tangu mama amteue Kafulila kwakweli PPP imeanza kufanya Chochote,
Hongera Samia,
Hongera Kafulila