Rais Samia: Bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine, Wananchi muwe watulivu

Yaani shilingi 3800+ mpaka 4000+ kwa Lita 1 ni hela ndogo kwa Mtanzania! Halafu ishu ya bei ya mafuta kwenye nchi yako unailinganisha vipi na ile ya nchi nyingine? Tunalingana na hizo nchi kimaisha na kipato cha mwananchi mmoja mmoja?

Hivi hii nchi tumelaaniwa na nani mpaka tukapewa viongozi wa aina hii!!!
 
Yaani 3800+ mpaka 4000+ kwa Lita 1 ni hela ndogo kwa Mtanzania! Halafu ishu ya bei ya mafuta kwenye nchi yako unailinganisha vipi na ile ya nchi nyingine? Tunalingana na hizo nchi maisha na kipato cha mwananchi mmoja mmoja?

Kingine ni hiki, kama ni hivyo, Shemeji alimtumbulia nini?
 
Yaani 3800+ mpaka 4000+ kwa Lita 1 ni hela ndogo kwa Mtanzania! Halafu ishu ya bei ya mafuta kwenye nchi yako unailinganisha vipi na ile ya nchi nyingine? Tunalingana na hizo nchi maisha na kipato cha mwananchi mmoja mmoja?

Hivi hii nchi tumelaaniwa na nani mpaka tukapewa viongozi wa aina hii!!!

Analinganisha na Marekani labda mamaduro
 
Unadhan hapo anaelewa hta anachoki defend? Kama anaweza kusema mataifa ya ulaya lita imefika euro 6000, hilo ni debe tupu limebwatuka kimsingi kama tabia yake. Hao wa mataifa mengne tunalingana nao kwa kila kitu had afanye comparison ya namna hyo.
 
Back
Top Bottom