Anasahau kuna kitu kinaitwa purchasing power ya mtanzania ni tofauti kabisa na hizo nchi za ulaya.Yaani shilingi 3800+ mpaka 4000+ kwa Lita 1 ni hela ndogo kwa Mtanzania! Halafu ishu ya bei ya mafuta kwenye nchi yako unailinganisha vipi na ile ya nchi nyingine? Tunalingana na hizo nchi kimaisha na kipato cha mwananchi mmoja mmoja?
Hivi hii nchi tumelaaniwa na nani mpaka tukapewa viongozi wa aina hii!!!
Yaani shilingi 3800+ mpaka 4000+ kwa Lita 1 ni hela ndogo kwa Mtanzania! Halafu ishu ya bei ya mafuta kwenye nchi yako unailinganisha vipi na ile ya nchi nyingine? Tunalingana na hizo nchi kimaisha na kipato cha mwananchi mmoja mmoja?
Hivi hii nchi tumelaaniwa na nani mpaka tukapewa viongozi wa aina hii!!!
Hata Marekani mafuta sio expensive kama anavyodai Bi ChuraAnalinganisha na Marekani labda mamaduro
USD 8000 ni milioni 20 😂😂🙌Marekani lita moja ni usd 8000, sasa fanya 2600x8000 😄 kweli wako juu
Katika hotuba hiyo, Samia alinukuliwa akisema bei ya lita moja ya mafuta barani Ulaya imefika Euro 6,000 (takriban Tsh. Milioni 18), kabla ya kufanya marekebisho ya papo hapo kuwa ni kati ya Dola 500 na 800—kiwango ambacho bado kimezua taharuki kwa kuwa ni kikubwa mno kulinganisha na hali halisi ya soko la dunia.Rais Samia amedai kuwa bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine licha ya kupunguza ushuru, wananchi muwe watulivu hili jambo halijasababishwa na Serikali yetu.
USD 8000 ni milioni 20 😂😂🙌
Kwa sababu hawawajibiki kwa hao wananchi, anawajibika kwa hao waliomweka na kumlinda abaki madarakani.Kwanini Samia hajawai kudimama upande wa wananchi kwenye matatizo kama haya mara nyingi uwa anakuja kutetea na kukandamiza
Kashushe wewe bei ya mafuta kwenye soko la dunia.Samia anapenda ku justify upuuzi huyu mama ndio maana watu hawampendi
AnadanyanyaNa sisi ni kama usd 2 tu so kweli wako juu
Kwanini Samia hajawai kudimama upande wa wananchi kwenye matatizo kama haya mara nyingi uwa anakuja kutetea na kukandamiza
Hili ni tatizo kubwa kwa nchi kuwa na kiongozi ambaye elimu yake ni ya hapa na pale.Anasahau kuna kitu kinaitwa purchasing power ya mtanzania ni tofauti kabisa na hizo nchi za ulaya.
kwan marekani wanatumia kipimo cha ltrsAnalinganisha na Marekani labda mamaduro