Rais Samia bring back Jerry Silaa Wizara ya Ardhi

Mama kamuokoa huyu, maana alikuwa anaenda kuongeza hasara ktk nchi...
 
Muelekeo wa jamaa alikuwa maarufu kuliko namba moja.
Watu waliweka imani zaidi kwake kuliko
Lakini Jamaa alikua anasisitiza kabisa,kua haya ni maelekezo ya Dr Samia amenituma nisimamie haki za watu, sasa kama kuna watu waliweka imani zaidi kwake hilo ni tatizo lao!!
 
Kashaonyesha mfano kinachotakiwa aliyekaimu nafasi yake naye ni muda wa kuendeleza yaliyoachwa na mtangulizi wake.!!
Jerry yeye akapige kazi hiyo wizara mpya na kuleta mabadiliko.!!
 
Mama kamuokoa huyu, maana alikuwa anaenda kuongeza hasara ktk nchi...
Ndg kwenye swala la haki kusimama,lazima upande mmoja ucheke,na upande mwingine ulie! Kwenye maridhiano ndiyo pande zote mbili mtacheka au wote mtalia! Kwa mfano umevamia kiwanja cha mtu ukajenga kwa documents fake, siku mwenye haki yake akija kuidai,ni wwe lazima utalia na mwenye kiwanja chake yeye atacheka!!
 
Kashaonyesha mfano kinachotakiwa aliyekaimu nafasi yake naye ni muda wa kuendeleza yaliyoachwa na mtangulizi wake.!!
Jerry yeye akapige kazi hiyo wizara mpya na kuleta mabadiliko.!!
Nchi yetu unaijua vizuri shida ni huyo atakae kuja sifikirii kama ataendeleza mapambano labda amteue Kafulila kuwa mbunge halafu ampe uwaziri wa ardhi.
 
Katika vitu nilivyoshangaa ni huyo Slaa kuondoka Ardhi na pia inaonekana wahuni na wezi wana nguvu sana ya ushawishi...
 
Kama amefanya vema huko alipokuwa,basi ndiyo maana amehamishiwa kwingine ili aoneshe umahiri wake.Kumuacha mtendaji mmoja sehemu ileile moja kwa muda mrefu ni kudumaza akili,upeo na maamuzi yake.Basi,aachwe aoneshe/asambaze upendo.
 
Lakini Jamaa alikua anasisitiza kabisa,kua haya ni maelekezo ya Dr Samia amenituma nisimamie haki za watu, sasa kama kuna watu waliweka imani zaidi kwake hilo ni tatizo lao!!
Samia huyu hajawahi muonea Mtanzania wa kawaida huruma' Eti amtume Jerry aende abomoe kituo cha mafuta 'shell' Eti sababu kimejengwa kwenye makazi ya watu. Hizo zilikuwa jitihada au kujiongeza binafsi za Jerry.
 
Mkuu umenena sahihi kabisaaa.
 
Nchi yetu unaijua vizuri shida ni huyo atakae kuja sifikirii kama ataendeleza mapambano labda amteue Kafulila kuwa mbunge halafu ampe uwaziri wa ardhi.
Ataona aibu kwa mambo aliyofanya mtangulizi wake…… TUMPE MUDA
Wanasema muda ni mwalimu mzuri.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…