Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi.
Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na serikali kukabiliana na hali hiyo.
Serikali iliingiza maji lita milioni Sabini (70) jijini Dar es Salaam kutoka Kigamboni. Pia serikali imeanza ujenzi wa Bwawa la Kidunda ambalo ndio suluhisho la kudumu la tatizo la maji jijini Dar es Salaam.
Rais Samia ameomba Tupande miti na Tutunze mazingira yetu ili hali irudi kama zamani