Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Tutapandaje miti kabla hatujawa na sheria kali ya kuilinda na kuinusuru michache iliyobaki ...sidhani kama Rais anajua kinachoendelea huko kwenye mapori ya asiliRais Samia ameomba Tupande miti na Tutunze mazingira yetu ili hali irudi kama zamani
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi.
Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na serikali kukabiliana na hali hiyo.
Serikali iliingiza maji lita milioni Sabini (70) jijini Dar es Salaam kutoka Kigamboni. Pia serikali imeanza ujenzi wa Bwawa la Kidunda ambalo ndio suluhisho la kudumu la tatizo la maji jijini Dar es Salaam.
Rais Samia ameomba Tupande miti na Tutunze mazingira yetu ili hali irudi kama zamani
View attachment 2427243
Rais Samia Suluhu ameleta suluhusho la kuduma kuanzia sasa shida ya maji tumeiaga kabisa pia mgao wa maji sasa umekwishaHilo Bwawa wanachimba visima vya kulijaza au wanategemea maji ya mvua kulijaza? Kama ni maji ya mvua hilo sio suluhisho la kudumu!!
Project yake ya upandaji miti Dodoma-makutupora-Mzakwe kipindi akiwa makamu anajua maendeleo yake? Hakuna mti hata mmoja uliobakia kati miti alfu kadhaa iliyopandwa.Tutapandaje miti kabla hatujawa na sheria kali ya kuilinda na kuinusuru michache iliyobaki ...sidhani kama Rais anajua kinachoendelea huko kwenye mapori ya asili
Asante mkuuProject yake ya upandaji miti Dodoma-makutupora-Mzakwe kipindi akiwa makamu anajua maendeleo yake? Hakuna mti hata mmoja uliobakia kati miti alfu kadhaa iliyopandwa.
Naungana na wewe kuhusu sheria za ulindaji wa miti kutiliwa mkazo.
Ya kweli haya?Rais Samia Suluhu ameleta suluhusho la kuduma kuanzia sasa shida ya maji tumeiaga kabisa pia mgao wa maji sasa umekwisha
Hizo story tangu uhuru ni drama tuRais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi.
Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na serikali kukabiliana na hali hiyo.
Serikali iliingiza maji lita milioni Sabini (70) jijini Dar es Salaam kutoka Kigamboni. Pia serikali imeanza ujenzi wa Bwawa la Kidunda ambalo ndio suluhisho la kudumu la tatizo la maji jijini Dar es Salaam.
Rais Samia ameomba Tupande miti na Tutunze mazingira yetu ili hali irudi kama zamani
View attachment 2427243
kwanini wasichimbe visima kila mkoa, haya masuala ya kusema tunakosa maji kwakuwa mabwawa hayana maji ni aibuRais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.