Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Unasifia upumbavu alifanya nn cha maana tunataka kuona matokeo sio history sijui upuuz gan mjinga ww
 
Inatusaidia nini ndio maana alidumu kwa muda mfupi sana kwenye nafasi ya waziri mkuu baada ya shujaa Edward Sokoine Moringe kufariki mwaka tare 12 Aprili 1984 hukoWami Dkawa Morogoro kwa ajali ya gari iliyosababishwa na dereva wa kutoka kambi ya wapigania uhuru wa Afrika kusini aitwaye 'DUBE'
 
😆😆😆
 
Kaka watu wengine sisi usituambie tukaangalie picha yake bali tulibahatika kuwa naye karibu. Anyway ninachopingana na wewe ni hiyo nadharia ya ukubwa wa paji la uso na mtu kuwa Genius. Yaani nyie ndio wale mtu anapopata nafasi na kufanikiwa basi mtampa kila sifa. Kiukweli Nyerere alifanikiwa sana hasa katika uadilifu na kuunganisha watu. Lakini ninaamini kufanya kwake vizuri HAIHUSIANI NA PAJI LA USO na SIO KWAMBA YEYE ALIKUWA GENIUS SANA.

Pia tushukuru Nyerere hakuwa MCHAGA au KUTOKA NG'AMBO YA PILI
 
😂😂😂😂😂😂
 
Unasifia upumbavu alifanya nn cha maana tunataka kuona matokeo sio history sijui upuuz gan mjinga ww

Ndio ukasome nyaraka zake. Kwa kifupi alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na baadae Kawa Katibu Mkuu wa AU miaka hiyo ikijulikana Kama OAU. Ilibaki kidogo awe Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kama sio ujinga wa Marekani kumuwekea VETO.
 

Unajua kwanini alikaa muda mfupi?
 
Ayaaaa!! Chuo chetu hiki jamani.
 
Zilikuwa shughuli za VP, naona kwa sasa linakuwa swala la raisi mwenyewe.
Kama alienda kwenye mdundiko kizimkazi siku 5 na nchi ina shida ya umeme .

Atashindwa kweli kuhudhuria sherehe kama hizo maana ndio vitu anavyoviweza na kupiga mipasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…