Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Angalia paji la Uso la Salim Ahmed Salim alipokuwa kijana, uone lilivyo kubwa. Angalia urefu wake kuanzia nywele za utosini hadi kwenye macho, uone lilivyo refu. Hiyo ni Sign ya Ubongo mkubwa a.k.a Akili nyingi.
Anamzidi yule aliyepindua vifungo vya suti akawalaumu wapiga picha kwa kuharibu picha yake
 
Balozi Amina Salum Ali
Mungu amempa Dkt. Salim kipaji cha uvumilivu na kuna masomo mengi kutoka kwake, hata alpochafuliwa hakutaka kujiingiza kwenye siasa za chuki na visasi.
Hivi huyo aliyevaa nyeupe kajisikiaje aliposyasikia haya maneno?? Kufa hafi Ila cha moto anakiona moyoni kwake.
 
Kuwa na Forehead kubwa kwamba ni ishara ya akili kubwa hizo ni porojo za vijiwe vya kahawa, tumeshuhudia mashuleni watu wenye forehead za kawaida na maajawabu waliyokuwa wakifanya darasani,na wengine ma forehead makubwa wakiwa vilaza darasani .
 
Sasa Mkuu ndiyo umtukane Ndugu Redio hadharani!🤣🤣🤣🔥
 
Kuwa na Forehead kubwa kwamba ni ishara ya akili kubwa hizo ni porojo za vijiwe vya kahawa, tumeshuhudia mashuleni watu wenye forehead za kawaida na maajawabu waliyokuwa wakifanya darasani,na wengine ma forehead makubwa wakiwa vilaza darasani .
Labda shule za kukariri hasa zile za chini, lakini kwenye elimu iliyo analytical, hususan ya juu. Uwezo wa kiakili wa baadhi ya wale uliokuwa ukiwaona vilaza kule chini huanza kujipambanua wazi!.
Kamwe usilinganishe kichwa kikubwa na kichwa kidogo.
Hapa sizungumzii wale wenye mabichwa ya kilema!
 
Wanaiba hela za umma weeee....wakiwa wazee wanakaribia kufaa wanaanza kuzichezea.

Watanzania na library tena ya kumuhusu mtu mmoja tu wapi na wapi?
Hiyo Library iko wapi?

Unaonesha hata unachokisoma hukielewi.

Punguwani wahed.
 
Huu ni ujinga mtupu
Jina la mtu kuitwa chuo au taasisi yoyote kumuenzi wakati hana nguvu na afya ya kutambua kinachoendelea inasaidia nini familia yake? Dr. Salimu Ahmed Salim hakuwa mwanzilishi wa namna bora ya mahusiano ya kimataifa huku ni kupakana rangi tu ili aliyefanya hivyo aonekane mwema kumbe ni unafiki uliopitiliza
 
Salim Ahmed Salim anastahilia kuenziwa.
 

Basi 2025 tuishi humu
 
Ndio ukasome nyaraka zake. Kwa kifupi alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na baadae Kawa Katibu Mkuu wa AU miaka hiyo ikijulikana Kama OAU. Ilibaki kidogo awe Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kama sio ujinga wa Marekani kumuwekea VETO.
Ndo nataka kujua sasa alisaidia nn sio hz porojo
 
Wanafiki tena waongo wakubwa msiokuwa na haya wala msiojua vibaya ,lana ya ubaguzi itawatafuna mpaka ndani ya makaburi.

Hivi ni akina nani walimpinga huyu muarabu kuwa Raisi wa Tanzania ( Aka mgombea),hivi ni akina nani jambo likitokea nchi za kiarabu mnalipiga viti.
ila wazungu wamewataka mvae magauni hamjasema hata nyoka, bora Museveni amesimama kidete na hamung'unyi maneno anawapa wazungu makavu .

Hapa tumeona mvutano wa bandari ,mnataka kuwarudisha waarabu mnataka uislamu yaani mmeharisha mpaka imebidi mtiwe maji.

Salim ahamed hivi Salim ahamed vile ,mlimupiga vita mchana kweupe pale bungeni ili asigombee na kuwa Raisi wa Tanzania ,leo amekuwa mzuri,mwema anapendeza ? Alipoleta magari ya maland Cruiser mkonga hamkuyakataa.
Tukisema Muungano mwisho Chumbe basi mtuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…