Chalamila anasemajeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Mkuu wa mkoa alitakiwa kusimamiaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.
Kuuza na kukopa ndiyo kazi wanayoweza kuifanya hawa vichwa majiCCM imeuza maeneo ya wazi ya umma mijini.
Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya zote za Dar pamoja na Wakurugenzi inabidi wajitafakari. Maneno ya Mkuu wa Nchi yanaweza kuwa na mwangwi mkubwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.
Nje ya hoja, hayuko kutafuta followersNi ujinga ujinga tu! Yani sasa hivi huyu mama yetu kwenye hotuba zake kama zinarushwa live streaming hivi huwa wanafika hata watazamaji mia Tano live????? Naombeni jibu
Ndiyo maana mnaitwa nyumbuMambo ya tanganyika anaenda kuongelea visiwani huyu bibi kweli hamnazo
si kasema yupo kwenye matibabuMkuu wa mkoa alitakiwa kusimamia