Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

Usafi unapaswa kufundishwa kila mahali, wengi kwenye usafi hawajali
 
Kwa mpangilio mbovu wa dar lazima pawe pachafu tu hakuna namna. Mvua ikinyesha mji wote unanuka.
 
Hakuna sheria hapa kila siku ni maneno tu
Nchi kubwa ila kila mmoja anaongelea mji wake tu Kama sheria
 
Mama unda tume ibaini halmashauri zilizotoa tenda kwa madiwani na utimue wakurugenzi wa wilaya waliyofanya hayo madudu. Yaani mtu hana vitendea kazi inakuwaje anapewa tenda kama sio ukithirishwaji wa rushwa?

Ningekuwa rais mbona wangenyooka hawa wala rushwa
 
Mjii upangiliwe maeneo ya biashara viwanda etc yani kuwe na a proper planning
 
Hivi yule meya wa jiji la dar anakazi gani haswa yaani sijawahi muona hata kaitisha press ila kwenye K.O ya mama namuonaga sana na kule miaka 30 ya bongo namuonaga sana
Wewe shetta haufai kuwa meyq wa jiji pamoja na mzungu wako manara wote matapeli 😂 😂
 
Chalamila yupo bize na mabasi ya mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…