Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwa sentesi hiyo nimehakikisha kweli wewe mi mlabila
Ni kweli.Mbona hata mwanakwendazake alikuwepo humu, tukamkera mpaka akatamani kuwa malaika mzima mitandao!
Lakini mkuu, Nyani, usiunderrate mitandao, hasa JF! Hapa kuna mapoint ya nguvu tu, hata kutoka kwa hao unao mkufuru mwenyenzi Mungu kwa kuwaita nyumbu!Ni kweli.
Na kuhusu hilo nilianzisha uzi unaosema ‘nataka Rais Magufuli ashindwe kwenye hilo’.
Lakini nyumbu hawakuelewa nilichokiandika.
Ku observe na kusema kuwa Rais Samia anademka na kijiricho mitandaoni, kulingana na maneno yake mwenyewe mara kadhaa sasa, si kukana kuwa Rais Magufuli hakuwa anaperuzi mitandao kuona yasemwayo.
Ni vile tu hapa kwenye huu uzi anayezungumziwa ni Samia. Siyo Magufuli.
Hivi wasukuma wanaingiaje kwenye hii mada?Wasukuma kubalini matokeo . Ni era ya Mama sasa. Hata akiongoza kwa kuhisi basi inatosha.
Kwani nani kamzuia huyo mama kuchungulia mitandao?Lakini mkuu, Nyani, usiunderrate mitandao, hasa JF! Hapa kuna mapoint ya nguvu tu, hata kutoka kwa hao unao mkufuru mwenyenzi Mungu kwa kuwaita nyumbu!
Hata bunge letu, na vyombo vya usalama ambavyo vingepaswa kuwa ‘chimbo’ la Mazaa kupata ‘madini’ viko biased! Mwacheni Mazaa achungulie hapa usiku kucha alafu asubuhi, kazi iendel’
Kama nia yetu ni kutumia uhuru wa maoni tu, siyo kampeni chafu za pushgang zidi ya mazaa, katika kuboresha legacy ya mwanakwendazake, basi Sawa!Kwani nani kamzuia huyo mama kuchungulia mitandao?
Sasa akisema hadharani kuwa huwa anaingia kusoma yanayozungumzwa mitandaoni, hatupaswi kutoa maoni yetu?
Mara kadhaa sasa yeye mwenyewe kasema kuwa huwa anaingia na kusoma. Na yeye ni Rais.
Kwa hiyo akisema hivyo hadharani sisi tunapaswa kukaa kimya tu?
Ndo unachokitaka hicho?
Hakuna anayemzuia huyo mama kufanya atakacho kwenye muda wake wa siasa.
Na sisi kutoa maoni yetu juu ya maneno yake, si kumzuia.
Hutaki watu wayaongelee maneno ya Rais ayatoayo hadharani yeye mwenyewe?Kama nia yetu ni kutumia uhuru wa maoni tu, siyo kampeni chafu za pushgang zidi ya mazaa, katika kuboresha legacy ya mwanakwendazake, basi Sawa!
Sawa, nanyi hamtaki kujibiwa katika kuyaongelea maneno hayo ya rais?! Umeongea na mimi nimeongea, uwanja mpana huu!Hutaki watu wayaongelee maneno ya Rais ayatoayo hadharani yeye mwenyewe?
Manake hata sikuelewi! Jieleze vizuri ueleweke!
Mitandao ndo kuna maoni mengi ni sawa kufuatilia kama ana mudaHuyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Nani hataki kujibiwa?Sawa, nanyi hamtaki kujibiwa katika kuyaongelea maneno hayo ya rais?! Umeongea na mimi nimeongea, uwanja mpana huu!
Sawa. Sijasema si sawa..Mitandao ndo kuna maoni mengi ni sawa kufuatilia kama ana muda
Unaonekana kukwepa hoja ya msingi kwa kisingizio cha kuwa hoja yangu ni kuzuia usijadili hoja ya mama! Kwanini uwe na hasira hoja yako ikihojiwa, wakati Wewe unamhoji Mazaa!Nani hataki kujibiwa?
Mkoa wa Geita RPC wake , ameshindwa kazi.wizi na mauaji yamerudi kwa kasi.“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri” - Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Sijahoji!Unaonekana kukwepa hoja ya msingi kwa kisingizio cha kuwa hoja yangu ni kuzuia usijadili hoja ya mama! Kwanini uwe na hasira hoja yako ikihojiwa, wakati Wewe unamhoji Mazaa!