Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Mbona hata mwanakwendazake alikuwepo humu, tukamkera mpaka akatamani kuwa malaika mzima mitandao!
Ni kweli.

Na kuhusu hilo nilianzisha uzi unaosema ‘nataka Rais Magufuli ashindwe kwenye hilo’.

Lakini nyumbu hawakuelewa nilichokiandika.

Ku observe na kusema kuwa Rais Samia anademka na kijiricho mitandaoni, kulingana na maneno yake mwenyewe mara kadhaa sasa, si kukana kuwa Rais Magufuli hakuwa anaperuzi mitandao kuona yasemwayo.

Ni vile tu hapa kwenye huu uzi anayezungumziwa ni Samia. Siyo Magufuli.
 
(1) Kuna wizi unaoshamiri kila kona.
(2)Matapeli wanaongezeka kila kona.
(3)Madawa kulevya yameanza kuletwa kwa kasi ya Kimbunga.
Sasa naanza kujua maana ya ile methali"MTANIKUMBUKA)
RIP,JPM.
 
Ni kweli.

Na kuhusu hilo nilianzisha uzi unaosema ‘nataka Rais Magufuli ashindwe kwenye hilo’.

Lakini nyumbu hawakuelewa nilichokiandika.

Ku observe na kusema kuwa Rais Samia anademka na kijiricho mitandaoni, kulingana na maneno yake mwenyewe mara kadhaa sasa, si kukana kuwa Rais Magufuli hakuwa anaperuzi mitandao kuona yasemwayo.

Ni vile tu hapa kwenye huu uzi anayezungumziwa ni Samia. Siyo Magufuli.
Lakini mkuu, Nyani, usiunderrate mitandao, hasa JF! Hapa kuna mapoint ya nguvu tu, hata kutoka kwa hao unao mkufuru mwenyenzi Mungu kwa kuwaita nyumbu!
Hata bunge letu, na vyombo vya usalama ambavyo vingepaswa kuwa ‘chimbo’ la Mazaa kupata ‘madini’ viko biased! Mwacheni Mazaa achungulie hapa usiku kucha alafu asubuhi, kazi iendel’
 
Kwani nani kamzuia huyo mama kuchungulia mitandao?

Sasa akisema hadharani kuwa huwa anaingia kusoma yanayozungumzwa mitandaoni, hatupaswi kutoa maoni yetu?

Mara kadhaa sasa yeye mwenyewe kasema kuwa huwa anaingia na kusoma. Na yeye ni Rais.

Kwa hiyo akisema hivyo hadharani sisi tunapaswa kukaa kimya tu?

Ndo unachokitaka hicho?

Hakuna anayemzuia huyo mama kufanya atakacho kwenye muda wake wa siasa.

Na sisi kutoa maoni yetu juu ya maneno yake, si kumzuia.
 
inatakiwa mheshimiwa rais ajiulize kwa nini sasa hivi viujambazi jambazi vimeanza kurudi?
 
Kwani nani kamzuia huyo mama kuchungulia mitandao?

Sasa akisema hadharani kuwa huwa anaingia kusoma yanayozungumzwa mitandaoni, hatupaswi kutoa maoni yetu?

Mara kadhaa sasa yeye mwenyewe kasema kuwa huwa anaingia na kusoma. Na yeye ni Rais.

Kwa hiyo akisema hivyo hadharani sisi tunapaswa kukaa kimya tu?

Ndo unachokitaka hicho?

Hakuna anayemzuia huyo mama kufanya atakacho kwenye muda wake wa siasa.

Na sisi kutoa maoni yetu juu ya maneno yake, si kumzuia.
Kama nia yetu ni kutumia uhuru wa maoni tu, siyo kampeni chafu za pushgang zidi ya mazaa, katika kuboresha legacy ya mwanakwendazake, basi Sawa!
 
Hutaki watu wayaongelee maneno ya Rais ayatoayo hadharani yeye mwenyewe?

Manake hata sikuelewi! Jieleze vizuri ueleweke!
 
Sawa, nanyi hamtaki kujibiwa katika kuyaongelea maneno hayo ya rais?! Umeongea na mimi nimeongea, uwanja mpana huu!
 
Pia kuna wengine huku wapo uwanja wa Mkapa wanapima kina cha Maji kwa kugomea maagizo ya Serekali kwa kutotii kuingiza Timu saa moja usiku.
 
“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo vizuri” - Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na Wazee Dar es salaam leo
Mkoa wa Geita RPC wake , ameshindwa kazi.wizi na mauaji yamerudi kwa kasi.
 
Unaonekana kukwepa hoja ya msingi kwa kisingizio cha kuwa hoja yangu ni kuzuia usijadili hoja ya mama! Kwanini uwe na hasira hoja yako ikihojiwa, wakati Wewe unamhoji Mazaa!
Sijahoji!

Nime observe tu.

Lakini kwa vile akili yako ni duni, huwezi ku process nuance ya kati ya ku observe na ku question.

Nilicho ki observe ni kitu cha ukweli. Hata yeye alikizungumzia siku ile anahutubia bunge, kwamba wabunge wanademka na ngoma zipigwazo mtandaoni!

Mara kadhaa sasa anazungumzia hadharani mambo anayoyaona mtandaoni.

Hivyo, naye anademka na ngoma ipigwayo mtandaoni.

Ni hivyo tu. Ni observation.

Siyo hojaji.

You can’t process nuance.
 
Mama hata humu yumo. Yule alianza uanaharakati kitambo mno kabla hajajoin politics fully mwaka 2000.
 
Back
Top Bottom