Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Wewe ni sukumagang na mtetea legacy wa kawaida tu, huna lolote! Kama unaona malaika mkuu alikua perfect sana kamfufue!
Hayo ni majibu ya kulingana na akili duni uliyo nipachika, so keep observing!
 
Wewe ni sukumagang na mtetea legacy wa kawaida tu, huna lolote! Kama unaona malaika mkuu alikua perfect sana kamfufue!
Hayo ni majibu ya kulingana na akili duni uliyo nipachika, so keep observing!
🤣🤣

You are dumb beyond belief!
 
kweli ? mitandao baadhi ( majungu mkakati bin uzushi ) ...ni siasa tuu lkn Rais anapata hbr za UHAKIKA
Kwani anachukua tu vitu bila reasoning? Mfano ulatewa taarifa hii na hujapata second side how will she make a third story? She has common sense and I believe she is knowledgeable enough to know what is sensible
 
Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!

Mara kadhaa sasa anaitaja.

Si ajabu yupo humu…

Hata magufuli alikua yupo humu!! Jiwe alisema anatamani mitandao ya kijamii ifungwe naona sukuma gang mna mawazo ya kijima kama mwendazake.
 
Hata magufuli alikua yupo humu!! Jiwe alisema anatamani mitandao ya kijamii ifungwe naona sukuma gang mna mawazo ya kijima kama mwendazake.
Oh yeah! Naamini alikuwepo!

Na aliposema anatamani malaika ashuke aifunge mitandao ya kijamii, mimi nilimpinga kwa kuanzisha mada hii:


Facts!

Sasa wewe jinga ulikuwa wapi nilipompinga Rais Magufuli kwenye hilo?
 
Leo tu wamesahau ile mikwara mizito ya Late JPM kwa majambazi, "nisisikie jambazi kakimbia, kapelekwa polisi nk, ...", Hiyo ndiyo ilikuwa kauli ya kibabe kwa washika dau na hatukusikia hata vibaka mtaani.

Yaani hata robo mwaka bado, hao wanaibuka kwa kasi na wanajua hamna kitu from mama!.
 
amirijeshi mkuu anapogeuka commentator au mshauri wa bure..very interesting!
 
Kwahiyo Huyo askari akifa ndio basis tena ujambazi hauzuiliki?
 
Sidhani, mbona enzi ya BM na JK majambazi walitamba sana. Huyu huenda akawa ni new generation.
Lihakanga

Nilijua tu wachache watanielewa. Nawe hujaelewa Lihakanga .

Ngoja niondoe 'code' kwenye ilepost ili wote muelewe vyema. post yenyewe ni hii (Mara nyingine katika historia ya inji yetu tumepata hasara. Eeeh , Allah tuokoe! Wachache mtanielewa.)

Eleweni hivi, Rais siyo mtu wa kuambia askari na IGP kuwa, nasikia watu wanasema afande/askari fulani alimaliza ujambazi basi arejeshwe tena Dar.
Bali, Rais anapaswa kutoa tamko la kukung'uta jambazi zote shaba , zipigwe bomba pasipo kutazama nyuso zao.

Hayati Rais Magufuli alitoa tamko hivi " Vyombo vya ulinzi hakikisheni, kila jambazi anapigwa bomba na tena vyombo vya ulinzi wasiulizwe kuhusu vifo vya jambazi/wahalifu pale wanapokuwa katika kutekeleza majukumu yao". Inji yetu ilikuwa kimyaaaaaaa hakuna hao vibaka koko walioinua pua.

Sasa leo unaanza kutegemea askari mmoja badala ya kutoa maelekezo waliopo watoe kichapo kwa vibaka wote; tatizo lipo mahala.
 
Kwahiyo Huyo askari akifa ndio basis tena ujambazi hauzuiliki?
Tulimumu
Safi, umeona tatizo lilipo vyema; hili ni tatizo kubwa. yule anatakiwa kutoa order watu wapigwe bomba; ila yeye akileta mambo ya hivi hali itakuwa nzito pasipokuwa na sababu. Inji yetu imepata hasara kwa mara nyingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…