Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Kweli nataka kuamini hili "mtanikumbuka sana" by mwendazakeMkoa wa Geita RPC wake , ameshindwa kazi.wizi na mauaji yamerudi kwa kasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nataka kuamini hili "mtanikumbuka sana" by mwendazakeMkoa wa Geita RPC wake , ameshindwa kazi.wizi na mauaji yamerudi kwa kasi.
Wewe ni sukumagang na mtetea legacy wa kawaida tu, huna lolote! Kama unaona malaika mkuu alikua perfect sana kamfufue!Sijahoji!
Nime observe tu.
Lakini kwa vile akili yako ni duni, huwezi ku process nuance ya kati ya ku observe na ku question.
Nilicho ki observe ni kitu cha ukweli. Hata yeye alikizungumzia siku ile anahutubia bunge, kwamba wabunge wanademka na ngoma zipigwazo mtandaoni!
Mara kadhaa sasa anazungumzia hadharani mambo anayoyaona mtandaoni.
Hivyo, naye anademka na ngoma ipigwayo mtandaoni.
Ni hivyo tu. Ni observation.
Siyo hojaji.
You can’t process nuance.
🤣🤣Wewe ni sukumagang na mtetea legacy wa kawaida tu, huna lolote! Kama unaona malaika mkuu alikua perfect sana kamfufue!
Hayo ni majibu ya kulingana na akili duni uliyo nipachika, so keep observing!
Yeah, ni kawaida ya Nyani, haoni kundule!🤣🤣
You are dumb beyond belief!
Kwani anachukua tu vitu bila reasoning? Mfano ulatewa taarifa hii na hujapata second side how will she make a third story? She has common sense and I believe she is knowledgeable enough to know what is sensiblekweli ? mitandao baadhi ( majungu mkakati bin uzushi ) ...ni siasa tuu lkn Rais anapata hbr za UHAKIKA
Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Oh yeah! Naamini alikuwepo!Hata magufuli alikua yupo humu!! Jiwe alisema anatamani mitandao ya kijamii ifungwe naona sukuma gang mna mawazo ya kijima kama mwendazake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mheshimiwa ashauriwe ajiunge na huku jamiiforums naahidi hatojutia muda wake online
Leo tu wamesahau ile mikwara mizito ya Late JPM kwa majambazi, "nisisikie jambazi kakimbia, kapelekwa polisi nk, ...", Hiyo ndiyo ilikuwa kauli ya kibabe kwa washika dau na hatukusikia hata vibaka mtaani.Swala la usalama wa raia na mali zao ni swala la National security ambalo kiongozi yeyote makini angekuwa ana taarifa sahihi na ameshalifanyia kazi sasa kama taarifa tu anazipata mtandaoni... haya anazungumzia askari ambae hata yeye hamjui ? duh tuendelee kula Mtori nyama zipo chini ila waimba mapambio hamuwezi kuona udhaifu mkubwa uliopo kwa sasa kwa vile nyimbo zinazopigwa na DJ mnazielewa .. badala ya kumwambia Dereva aangalie mbele aache kuwaangalia nyinyi mnamsifia kwa kuweza kuendesha gari huku hatazami barabara soon mtajikuta mpo mtaroni mmevunjika na wengine kuumia vibaya .
LihakangaSidhani, mbona enzi ya BM na JK majambazi walitamba sana. Huyu huenda akawa ni new generation.
amirijeshi mkuu anapogeuka commentator au mshauri wa bure..very interesting!
TulimumuKwahiyo Huyo askari akifa ndio basis tena ujambazi hauzuiliki?