Ay
Na huo mradi wa kuchimba gas ni pesa ngapi kwann tunakopa kujenga SGR ilihali hakuna mizgo wowote au mazao yalioshindwa fika sehemu yoyote malori yapo ya kumwaga...tukiacha baadhi ya miradi kwa muda pesa ikaenda one way kwenye gas still haitoshi
Wasilipwe wabunge, mawaziri, wala ziara yoyote isiwepo just for one month
Hivi hawa wabunge mawaziri wasipolipwa mwezi mmoja tu tuchangie gharama za gas watakubali kweli? ili tusikopeKama unataka kuitumia huo uwezo wa kuichimba unao? au mpaka umuite mwekezaji atakayekuja kuchimba kwa gharama zake matokeo yake ajipangie bei yake ili arudishe pesa zake?
Suala sio Mungu kuweka, issue ni uwezo wa kukitumia kile alichokupa Mungu effectively kwa manufaa ya watu wako, tunaweza? think man.
Mfano hiyo gas huko Songas toka ianze kuchimbwa umewahi kuona bei yake ikishuka? think aisee..