GE2025 Rais Samia: Fedha hizi za harambee zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa

GE2025 Rais Samia: Fedha hizi za harambee zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza uandaaji wa hafla nzima ya uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni ya CCM.

Pia, ametoa pongezi kwa wasanii, watu mashughuli na watu wote kwa ujumla kwa makundi tofauti tofauti walioshiriki katika uzinduzi wa harambee hiyo.

Aidha, amesisitiza kuwa fedha hizo zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa na kampeni hizo kufanyika kistaarabu kwa kuzingatia misingi ya utawala bora, na kudumisha Amani ya nchi yetu.

 
Back
Top Bottom